lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!!1
Niajeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna tabia za kimagharibi za watu wazima, Over 18 hadi 80 hukooo kuwa na kawaida ya kuzama online na kucheki VITUS ama wengine kununua DVD, wengine kumiliki CUSTOMIZED Collection kwenye PC zao na kufaidi VITUZ kwa LED Ki HD(High Definition) Zaidi!!!!!!!!
Hii tabia wengi wanakuwa wamekua nayo toka teenage, enzi za kuchukua points na notsi za kutafutia course works kabla ya First Performance!!!!!!!! Siunajua unakuwa hjiamini amini, lazima ujue KANUNI sasa ndo unaomba back up kwa wazungu!
Cha ajabu watu wanazeeka na hii tabia wajameni sasa sijajua ni katika mpango mzima wa Kujiboresha na kumaintain viwango ama vipi. (Lazima uwe up to date na mambo!!!!!!)
Leo kuna mwana mmoja kanijia na anahitaji ushauri, mwana yeye ni mtu wa IT pale golini/ofisini sasa kuna MAZA Mtu mzima kama 50 hivi mkubwa tu pale ofisini alimuazima External Hard Disk ya ofisi afanyie back up zake, Mdau akampatia tu, sasa maza design akajibinafsishia ule mzigo wa ofisi, kujifanya kasahau flani kabisaaaa juu ya Urudishaji wa mali ya umaa kama 2 months. Leo mdau kamkaba arudishe External. basi ndo kafuta vitu vyake fasta fasta.
Jamaa kufika ofisini kabla hajaformat mzigo akaamua aukague nini si ndo akakuta file MOJA TUUUU!!!!!!! Hilo file limeseviwa "VERY IMPORTANT DOCUMENTS" akaona kabla ya kulifuta alicheki amrudishie maza. Duuuuuuuuuuh!!!!!! MZIGO WA UHAKIKA!!!!!!! CUSTOMIZED!!!!!!!!!! kama GB 300 hivi za ujazo!!!!!! Mambo XXXXXXXXXXL!!!!!!!!!! Lahaula! Ndo kaja kwangu mdau wake tudiscuss what next!!!!!!! Options hizo hapo chini
1. Akiufuta ule mzigo, ni soo! Je kama maza ile ni HAZINA yake itakuwaje akidai Mzigo wake ule ule ataupata wapi yeye? Mind you umeseviwa VIP!!!
2. Mdau akimrudishia Maza AKAUKANA SI WAKE na kutaka kuuona huenda ni wake kasahau una nini kwani hadi azani wake, si itakuwa balaaaaaa!!!!!!! Maza kama hamaindishi si ATAHISI AMEKOSEWA HESHIMA!!!!!
NYIE MNASHAURIJE!!!!!!!?
Mie NAUPITIA KWANZA MZIGO WENYEWE KUUHAKIKI UBORA WAKE then nitashauri!! (Samahanini lakini Mambo ya Walimwengu)