Tabia ya Watu Wazima Kucheki Movie na Picha za X (Ponogrphy)

Da mwanawane umenipa kiu, afu umemtaja huyo Mkuu ndio kabisaaa....
Kama vipi utukumbuke kwenye ufalme wako kupitia lile jukwaa letu la chini kabisa, tuwekee hata robo ya jasho tu!

Hahahaaaaaa! Usiwe na pressure, NGOJA KWANZA NIJINAFASI!!!! Then ndo niwafikirie!!!!! LOL!
 
Nilikuwa na kesi kama hiyo jumatatu kuna mother mmoja amenitumia sex video kwenye whatsapp nikashangaa kinoma baadaye nakuja kumuuliza anasema ni bahati mbaya but imeniacha na maswali mengi sana juu yake na jinsi aliyokuwa na heshima mbele ya jamii na familia yetu huyo mother kiukweli ni mzuri na kuna wakati fulani nimewahi kumtokea sema akazingua kutokana na uhusiano wake na familia yetu ni [rafiki wa familia].hadi sasa sijui nifanye nini kiukweli?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kumbe wewe lara1 ndio mthamini wa mizigo.

Hahahaaaa!!! NDO NAUTHAMINISHA KAMA UKO UP TO DATE AU OBSOLETE!!!!!! Kama vipi nimboreshee na VITUZ vya I PHONE 5S kabla hajarudishiwa mali zake!!!! LOL! ( SAMAHANINI LAKINI MAMBO YA WALIMWENGU TU HAYA!)
 
Nilikuwa na kesi kama hiyo jumatatu kuna mother mmoja amenitumia sex video kwenye whatsapp nikashangaa kinoma baadaye nakuja kumuuliza anasema ni bahati mbaya but imeniacha na maswali mengi sana juu yake na jinsi aliyokuwa na heshima mbele ya jamii na familia yetu huyo mother kiukweli ni mzuri na kuna wakati fulani nimewahi kumtokea sema akazingua kutokana na uhusiano wake na familia yetu ni [rafiki wa familia].hadi sasa sijui nifanye nini kiukweli?

Hahahaaaaa!!! (Its not a laughing matter n i am ashamed of myself)! Aiseeeeeeee! sasa KAMA ULIMBIP UNACHOSTUKA BAADA YA KUPIGIWA NINI? Video tu IMEKUTOA KAMASI MTU MZIMA!!!!! JE ZIGO LENYEWE ORIGINELO SI UNGEPIGA MAYOWE!!!!!!!!!! LOL! (Mambo mengine mazito wajameni waachieni wenyewe wakongo)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hahahaaaaa!!! (Its not a laughing matter n i am ashamed of myself)! Aiseeeeeeee! sasa KAMA ULIMBIP UNACHOSTUKA BAADA YA KUPIGIWA NINI? Video tu IMEKUTOA KAMASI MTU MZIMA!!!!! JE ZIGO LENYEWE ORIGINELO SI UNGEPIGA MAYOWE!!!!!!!!!! LOL! (Mambo mengine mazito wajameni waachieni wenyewe wakongo)
Tatizi siyo kushustuka na video yake anapima maji kwa kijito hilo ndio tatizo lake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!!1

Niajeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuna tabia za kimagharibi za watu wazima, Over 18 hadi 80 hukooo kuwa na kawaida ya kuzama online na kucheki VITUS ama wengine kununua DVD, wengine kumiliki CUSTOMIZED Collection kwenye PC zao na kufaidi VITUZ kwa LED Ki HD(High Definition) Zaidi!!!!!!!!

Hii tabia wengi wanakuwa wamekua nayo toka teenage, enzi za kuchukua points na notsi za kutafutia course works kabla ya First Performance!!!!!!!! Siunajua unakuwa hjiamini amini, lazima ujue KANUNI sasa ndo unaomba back up kwa wazungu!

Cha ajabu watu wanazeeka na hii tabia wajameni sasa sijajua ni katika mpango mzima wa Kujiboresha na kumaintain viwango ama vipi. (Lazima uwe up to date na mambo!!!!!!)

Leo kuna mwana mmoja kanijia na anahitaji ushauri, mwana yeye ni mtu wa IT pale golini/ofisini sasa kuna MAZA Mtu mzima kama 50 hivi mkubwa tu pale ofisini alimuazima External Hard Disk ya ofisi afanyie back up zake, Mdau akampatia tu, sasa maza design akajibinafsishia ule mzigo wa ofisi, kujifanya kasahau flani kabisaaaa juu ya Urudishaji wa mali ya umaa kama 2 months. Leo mdau kamkaba arudishe External. basi ndo kafuta vitu vyake fasta fasta.

Jamaa kufika ofisini kabla hajaformat mzigo akaamua aukague nini si ndo akakuta file MOJA TUUUU!!!!!!! Hilo file limeseviwa "VERY IMPORTANT DOCUMENTS" akaona kabla ya kulifuta alicheki amrudishie maza. Duuuuuuuuuuh!!!!!! MZIGO WA UHAKIKA!!!!!!! CUSTOMIZED!!!!!!!!!! kama GB 300 hivi za ujazo!!!!!! Mambo XXXXXXXXXXL!!!!!!!!!! Lahaula! Ndo kaja kwangu mdau wake tudiscuss what next!!!!!!! Options hizo hapo chini

1. Akiufuta ule mzigo, ni soo! Je kama maza ile ni HAZINA yake itakuwaje akidai Mzigo wake ule ule ataupata wapi yeye? Mind you umeseviwa VIP!!!

2. Mdau akimrudishia Maza AKAUKANA SI WAKE na kutaka kuuona huenda ni wake kasahau una nini kwani hadi azani wake, si itakuwa balaaaaaa!!!!!!! Maza kama hamaindishi si ATAHISI AMEKOSEWA HESHIMA!!!!!

NYIE MNASHAURIJE!!!!!!!?

Mie NAUPITIA KWANZA MZIGO WENYEWE KUUHAKIKI UBORA WAKE then nitashauri!! (Samahanini lakini Mambo ya Walimwengu)
Ukiangalia peke yako ndio problem.i and my hubby we watch together it's fun and refresh .
 
Watu wote huwa wanaangalia hizo picha.
Mfano mzuri tuanzie hapa JF, mbona karibu members wote wanatembelea kuleJLW, wakati tunajua kuwa umri wetu unatofautiana, kati ya 20 na 70!!

Umejuaje kuwa ni karibu members wote? Au mkifika huko huwa mnafanyiana rokoo?
 
kuna mshikaji wangu classmet mtu mzima hapa chuo, kwenye laptop kaweka partition 1ooGB za "mambo yetu yaleee"ebana weee yani kuna kila aina mule, orgy, gangbang yani we mwambie unataka nn yeye anacho, mhhh
 
Wamama wa kibongo noma inawezekana kammind mshikaji ila anashindwa pa kuanzia hivyo anamtafutia starting point kijanja ili asomeke kuwa mambo hayo kwake ya kawaida na anayaweza asinyimwe kwa kuhofia umri.

haaaah haaah mkuu umewaza mbali sana lol
 
Mimi nilibahatika kuingia kwenye PC ya mshua mmoja mnene serikalini nikakuta kuna file lina 256GB limeandikwa MIKATABA MBALIMBALI .Nikajua hapa kuna mikataba mpaka ya Buzwagi ngoja niingie nichukue mambo niyaanike JF. Nilichokuta ni xxxxx tena lattest collection balaah kabisa haaa haaa haaa

Ila sio mbaya kuwa nazo chache kujikumbusha style haa haa haa
 
Wakati niko chuo kuna dingi mmoja above 50 alikuwa anakaa next room,kutokana na age yake tulikuwa tumamuheshimu kama baba oneday jamaa alikuwa ameweka porn kwenye PC anaangalia, ghafla dingi kaingia jamaa akataka ku close ikagoma, dingi akavuta kiti akaanza kuangalia akaulizia kama na za kibongo tunazo, age ain't a thing but number!

Lara 1 & Baba V hivo mbona ni vitu vya kawaida tu. Mimim kuna mjamaa mumoja hapa Ni designer wa kampuni mtu mzima ana mke na watoto lakini anependa hizo vitu saaana na hafich akija huwa anakuja kuniomba nimsaidiee ku download nami namsaidia japokuwa huwa si watch hizo mambo.

Kwa Ujumla inasaidia

Hata mimi hiyo kitu ishawahi kunikumba nami ni mtu wa IT, kuna maza mmoja alikuwa Director of Human Resources sehemu niliyokuwa nafanyai tena ni mlokole anasali kwenye haya makanisa ya upako na miujiza alikuwa na laptop ya ofisi lakini ikawa inaleta matatizo matatizo na pia yeye hakuwa mtunzaji kihivo so ilikuwa kila mara naitwa kuishughulikia.Sasa mimi nikapropose apewe desktop ili kuondoa usumbufu wa hiyo laptop. Sasa bwana siku ya kuhamisha data zilizokuwa kwenye laptop kwenda kwenye desktop ndo ilikuwa kimbembe. Kikawaida unahamisha kila kitu na kila kitu inatakiwa kikae kama kilivokuwa kwenye laptop, mfano my picture uweke picha zake, my video kama ina video basi hamisha kama ilivo kwenye my video ya desktop.

Kila kitu nilikifanya vizuri na kwa uangalifu mkubwa si unajua tena Director of Human Resource ndo wa kukuponya au kukuangamiza wakati wa masaibu ya ofisini. Sasa ilipofika kwenye my favorite nilichokikuta ni kwamba alikuwa amebookmark zile site anazopenda kutembelea na katika site ambazo zilikuwa kama 15 nakuambia 7 zilikuwa za XXXX na zilizobaki zilikuwa ni za sex styles, du nikabaki nashangaaaa sana but nikanyuti zangu. Sasa nilivomkabidhi laptop inaonekana alikimbilia moja kwa zote kwenye my favorite na akakuta kila kitu kiko sawa.Lakini akawa anajua tu kwamba nimeona hizo sites.Alikaa kesho yake akaniita akaniambia kuwa eti laptop yake akifika nyumbani kuna watoto wa kaka yake eti niwatundu huwa wanachezea so eti huenda watakuwa wanawatch site za kingono, mi nilimjibu simple kwamba mimi wakati nahamisha data za watu hata sichungulii content ndo nikamaliza kesi hiyo

Nilikuwa na kesi kama hiyo jumatatu kuna mother mmoja amenitumia sex video kwenye whatsapp nikashangaa kinoma baadaye nakuja kumuuliza anasema ni bahati mbaya but imeniacha na maswali mengi sana juu yake na jinsi aliyokuwa na heshima mbele ya jamii na familia yetu huyo mother kiukweli ni mzuri na kuna wakati fulani nimewahi kumtokea sema akazingua kutokana na uhusiano wake na familia yetu ni [rafiki wa familia].hadi sasa sijui nifanye nini kiukweli?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kuna mshikaji wangu classmet mtu mzima hapa chuo, kwenye laptop kaweka partition 1ooGB za "mambo yetu yaleee"ebana weee yani kuna kila aina mule, orgy, gangbang yani we mwambie unataka nn yeye anacho, mhhh

Mimi nilibahatika kuingia kwenye PC ya mshua mmoja mnene serikalini nikakuta kuna file lina 256GB limeandikwa MIKATABA MBALIMBALI .Nikajua hapa kuna mikataba mpaka ya Buzwagi ngoja niingie nichukue mambo niyaanike JF. Nilichokuta ni xxxxx tena lattest collection balaah kabisa haaa haaa haaa

Ila sio mbaya kuwa nazo chache kujikumbusha style haa haa haa
Ukiangalia mifano yoye hapo juu unagundua kuwa kila member hapa anamsakizia kesi mtu mwingine....very interesting!!. Hizo quotations zote hapo juu zinaanza na..."Kuna Jamaa, Kuna Maza, Kuna Kigogo wa serikali, Kuna mshikaji, etc!../Think about this!...Imagine!

Hii inaonyesha kuwa watu hawataki wajulikane wanaangalia hizo makitu, lakini kwa bahati mbaya baadaye wanareveal kuwa picha hizo ni lattest na za ukweli balaa...what is that!

Hata anayekataa kuwa haangalii ni baada ya kuona au kugundua kuwa hazimfai tena(another proof kuwa tayari ameshaangalia) attn:mad:Gaijin.
 
Ila mwisho nimeweka wazi kuwa kuwa na mali kidogo kwa PC yako si mbaya kwa maboresho mkuu...
 
me naona ni kuboresha viwango,BTW mbona huwa wazee wanafanya tena kavukavu?hahaaaa!hiyo 300gb ampelekee tu,au kama anaona so akupe wewe umuwekee,siku mama akiulizia ampatie
 
Mimi nilibahatika kuingia kwenye PC ya mshua mmoja mnene serikalini nikakuta kuna file lina 256GB limeandikwa MIKATABA MBALIMBALI .Nikajua hapa kuna mikataba mpaka ya Buzwagi ngoja niingie nichukue mambo niyaanike JF. Nilichokuta ni xxxxx tena lattest collection balaah kabisa haaa haaa haaa

Ila sio mbaya kuwa nazo chache kujikumbusha style haa haa haa

Hahahaaaaaaa!!!!!!!!!! MIKATABA YA KUUZA NCHI!!!!!! Kama nakuona kubenea ulivoshushuka!!! Najua lazima ulitupia 2 au 3 kwa flash yako! Chezeya nafasi nyeti za kiserikali!!!!
 
Back
Top Bottom