money bag
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 373
- 298
Habari za asubuhi wadau jf.
Binafsi kuna jambo nashindwa kuelewa khs tabia ya sisi wa Tanzania kujijengea tabia ya kulalamika.
Kwa mfn:- mhe. Rais anamtumbua kiongozi utashangaa utasikia watu wanalalamika oooh ameonewa, oooh tumbua haikuwa na tija amekurupuka, mradi fln mzr unaanzishwa utasikia oooh watanzania kwa kuiga, pesa zinapigwa n.k
Another hand anateuliwa mtu kushika nafasi flan serikalini au taasis flan yaani watu hata hawamjui lkn utasikia wanalalamika oooh hawa ni walewale, hana lolote, ataweza kweli?
Sasa sisi watanzania tukae kundi gani jambo zurI likifanyika tunalalamika, jambo zuri tunalalamika nini shida?
Naomba tusaidiane tukomeshe hii tabia ifike mahali kwa jambo zuri tunapongeza na kupeana moyo sio kukandia, kulalamika na kulaumu na mbaya zaidi mtu analalamika hlf hatoi way forward.