mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,231
Toka nifike Dar es salaam kutoka Arusha, kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni tabia ya baadhi ya wanaume wa Dar kukaa chini na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya hivi, mara Jokate kafanya lile ... Yaani inakera inakera ..
Na unayakuta kabisa na midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na mapovu mdomoni.. Shame On you .. stop that .
Na unayakuta kabisa na midevu yao na inabishana mpaka yanatokwa na mapovu mdomoni.. Shame On you .. stop that .