sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,026
- - Uso kwa uso
- -Huwezi Amini
- -Atoboa siri
- Watupiana maneno
- Afichua mazito
Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video.
YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa kila views elf 1, mwenye video anaweza kulipwa 1,500/=, Ila sasa hizi mbinu mmnazotumia ili kukusanya views hazina ethics.
TCRA ao wamekaa kimya nywii.