Tabia ya wamiliki wa channel za youtube kuweka maneno ambayo mtu hajazugumza kwanini haipigiwi kelele

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
2,714
2,000
1637520663082.png

1637520784481.png

  • - Uso kwa uso
  • -Huwezi Amini
  • -Atoboa siri
  • Watupiana maneno
  • Afichua mazito
Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.

Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video.

YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa kila views elf 1, mwenye video anaweza kulipwa 1,500/=, Ila sasa hizi mbinu mmnazotumia ili kukusanya views hazina ethics.

TCRA ao wamekaa kimya nywii.
 
SammagaTZ

Member
Oct 24, 2021
41
125
Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.

yote hii ni kwajili ya kupata views ila mnaharibu heshima za watu.
Yaani daah inakera sana Na habari zisizo Na uhakika you tube zimejaa unaweza kukuta kitu gaya ambacho hakitabiriki kuwepo
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,589
2,000
Hakuna haja ya kudeal nao. Channel kama hizo hufa zenyewe. Labda wakihatarisha usalama au mtu akiona amedhalilishwa.
 
KITEKSORO

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
311
500
Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.

yote hii ni kwajili ya kupata views ila mnaharibu heshima za watu.
Mkuu yaani ulichoandika ni ukweli mtupu. Yaani inakera sana. Wakati mwingine wanawataja hata viongozi wakuu serikalini na kutumia picha zao bila hata woga. Hawa watu kwa kweli wanatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria. TCRA huu mfupa ni wenu kabisa.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
25,559
2,000
tatizo content jaman.

huko duniani kuna mamilioni ya channel za youtube,ila maudhui yake yanavyotafutwa ndio utaelewa kumbe kila kazi inahitaji uwekezaji sio ubabaishaji.

ukimwangalia kijana kama snash tz,unaona kabisa yeye ni mpya ktk game ila kufikia mafanikio haitachukua muda mrefu.
kwanini??
ana chambua maswala ambayo ni ya kipekee,na ambayo ni changamoto kwa wengi.
anatumia lugha ya kiswahili kuhakikisha anakuelekeza uelewe,hata upate mwanga juu ya jambo fulani.

hawa wengine wanachofanya ni utapeli,kudanganya watu na thambnail za kuchonga,halafu ndani zitendwa mbali,ukiisha click,mpaka uuone huo uongo yeye tayari kashahesabiwa cents kule,na ndio lengo lao.
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
Yaani ni wajinga sana wanajali views za youtube kuliko maudhui yenye maadili, kuna ile moja ilisema jinsi waziri mkuu alivyofumaniwa afadhali walifungiwa
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,563
2,000
View attachment 2019034

View attachment 2019037

  • - Uso kwa uso
  • -Huwezi Amini
  • -Atoa siri
  • Watupiana maneno
  • Afichua mazito

Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.

Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video.

Yyoutube ni ajira, kwa kila views elf 1 kuna kiasi kwa mfano shilingi 1,500/=, Ila sasa hizi mbinu mmnazotumia ili kukusanya views hazina ethics.

TCRA ao wamekaa kimya nywii.
Huu upuuzi uko mwingi sana YouTube
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,401
2,000
tatizo content jaman.

huko duniani kuna mamilioni ya channel za youtube,ila maudhui yake yanavyotafutwa ndio utaelewa kumbe kila kazi inahitaji uwekezaji sio ubabaishaji.

ukimwangalia kijana kama snash tz,unaona kabisa yeye ni mpya ktk game ila kufikia mafanikio haitachukua muda mrefu.
kwanini??
ana chambua maswala ambayo ni ya kipekee,na ambayo ni changamoto kwa wengi.
anatumia lugha ya kiswahili kuhakikisha anakuelekeza uelewe,hata upate mwanga juu ya jambo fulani.

hawa wengine wanachofanya ni utapeli,kudanganya watu na thambnail za kuchonga,halafu ndani zitendwa mbali,ukiisha click,mpaka uuone huo uongo yeye tayari kashahesabiwa cents kule,na ndio lengo lao.
Mi nikitoka Jf huwa ni kama kenge aliyetoka majini kuota jua kwenye mawe.

Husoma you tubers wawili tu, Millard Ayo na Global Tv kwa habari za kimantiki, zaidi ya hapo ni vichekesho vya kina Jotti, kisha nageuza tena kurudi ndani Jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
6,238
2,000
tatizo content jaman.

huko duniani kuna mamilioni ya channel za youtube,ila maudhui yake yanavyotafutwa ndio utaelewa kumbe kila kazi inahitaji uwekezaji sio ubabaishaji.

ukimwangalia kijana kama snash tz,unaona kabisa yeye ni mpya ktk game ila kufikia mafanikio haitachukua muda mrefu.
kwanini??
ana chambua maswala ambayo ni ya kipekee,na ambayo ni changamoto kwa wengi.
anatumia lugha ya kiswahili kuhakikisha anakuelekeza uelewe,hata upate mwanga juu ya jambo fulani.

hawa wengine wanachofanya ni utapeli,kudanganya watu na thambnail za kuchonga,halafu ndani zitendwa mbali,ukiisha click,mpaka uuone huo uongo yeye tayari kashahesabiwa cents kule,na ndio lengo lao.
Tukiachana na Uchambuzi ana sauti nzuri yenye Power yule mkaka jamani! nmeskilizaga sana ucjambuzi wake mpaka najikuta nazijua movie bila kuziona
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom