Ilikuwaje tena akaahirisha? Aende tu asituzingue huyo mbembeHii ni dunia ya kibepari kama hatuwezi kutangaza vitu vyetu acha watutangazie na wakisema vyao pia tusipige kelele.Diamond anaangaliwa zaidi na wakenya kuliko wabongo sasa kwanini wasijimilikishe? Album alizindulia Kenya na alishawahi kutishia anaenda kuishi Kenya. Hata huyu Idris si ajabu anafatiliwa zaidi Kenya.
Vivutio vyetu hatuvitangazi ni kama vinajipa promo vyenyewe na wakenya wanapita humo humo.
Tukianza kuthamini vitu vyetu hao wakenya au watu wengine hatatotumia tena hayo majina kusema ni ya Kenya.
Mtu alieleta mapinduzi kwenye huu muziki unasema asikuzingue wakati huohuo unacomplain wakenya kusema kusema ni kijana wao.Ilikuwaje tena akaahirisha? Aende tu asituzingue huyo mbembe
Kwn idris yeye alikua wapiyani uzembe mpka kushindwa kujitambulisha vyema mbele za watu..au watz labda nyie nje ndio mnapenda kujiita wakenyaAmepewa taarifa ni kijana wa kibera
Naona povu limeanza kwa Wana kiberaTanzanians with their inferiority complex again. Now Naija on Netflix is Kenya? Huyo Idris Sultan hata tukipewa wa bure hatuwezi mchukue na hakuna Mkenya wa kawaida anayemjua huku. Mwelezeni aache kiki za kipuzi.
Hahaha. Nimecheka sana. Asante kwa kunichekesha.Hii kasumba ya kutaka kila kitu kinachoshine kionekane ni cha Kenya imekithiri sana.
Kilimanjaro iko Kenya
Samatta ni mkenya
Idris sultan ni mkenya
Diamond ni mkenya
Ali kiba ni mkenya
Harmonize ni mkenya.
Kila kitu kizuri wao ni chaoView attachment 1766829View attachment 1766830
Huko kuuonea mlima Kilimanjaro kwa umbali, tosha kwetu. Twapiga hela kwa watalii, tukiwazumia kutoka KE, sio lazma waje Bongo, mkuu! 🤣 🤣 🤣Hao wasanii wawachukue tu maana wote "wamewowa" wakenya tuwaongezee na Ben Pol
ila "Mulima Kill" waendelee kuutazama kwambaaaaaali ila sio kuupanda kutokea KE