Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
Hao rasta wanauza utu wao kwa Dola kadhaa tu. Kuna mmoja alienda kuliwa jicho Ughaibuni akidhan msaada.
Story ILIKUA HIVI
Jamaa alikua dereva kwenye magari ya Utalii. Wazungu wakawa wamemuelewa kutokana na kuombaomba wakamuomba mfereji maringo akajidai hataki huku ashakula Dola zao, basi wakakauka kufika ughaibuni wakashukukuru kwa kuwa mkarimu wakamuambia karibu huku rasta akaona hili zali. Jamaa wakatuma tiketi na Dola za kulipia viza. Akapanda pipa alipotua tu kule jamaa wawili (wenyeji wakampokea) wakachukua passport yake kisha wakampeleka kwenye nyumba nje ya mji. wiki 2 zote masela wanampasua kwa zamu wakikumbushia Dola zao alizokua anafurahia Chuga. Ninavyoandika jamaa karejesha mpira kwa kipa. Kidole juu!
 
Back
Top Bottom