Tabia ya ujuaji inachangia kwa kiasi kikubwa kuiangusha CHADEMA

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Sisi waswahili tuna msemo "kuchamba kwingi.......",huenda msemo huu unarandana na tabia ya ''ujuaji'' waliyonayo viongozi na wafuasi wa CHADEMA.

Tabia ya kujua kufikiri wanajua kila kiti imechamgia anguko la Chadema kwa kiasi kikubwa.

Mara kadhaa baadhi ya wanaJF tumeleta mabandiko ya kuwang'amua na mambo mengi lakini wameishia kutukana badala ya kujenga hoja ama kutafakari.

Naam,"sikio la kufa halisikii dawa" bado wameonekana wabishi kufikia hatua ya kufurahisha nafsi zao kwa kuleta mabandiko ya uongo Mfano. "Tundu kuhutubia Bunge la US" akili inayopuuza ukweli kwa kujifariji na ukweli kwa hakika ni dalili mbaya.

Kwa tabia hii ya kupenda kusikia habari za uongo hakika dhahma inawakabili.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM inatumia nyenzo zote kujiimarisha, huwezi ukalinganisha na chama kingine cha siasa ambacho hakina Polisi wala Mahakama ndiyo kishindane nacho
 
CHADEMA haijaanguka Msijidanganye hata Jiwe anajua moto was CHADEMA. Mwambie Jiwe aruhusu shughuli za vyama ziendelee then muanze... kusomba watu na malori. Ccm ndio imeanguka.
Nani kamkataza mbowe kwenda fanya siasa Hai?
Umewahi ona mbunge wa New Jersey anaenda andamaanisha watu california au wa Oxford akaenda fanya shughuli za kisiasa hadharani Yorkshire?
HAMNA.
 
Ndugu zangu,

Sisi waswahili tuna msemo "kuchamba kwingi.......",huenda msemo huu unarandana na tabia ya ''ujuaji'' waliyonayo viongozi na wafuasi wa CHADEMA.

Tabia ya kujua kufikiri wanajua kila kiti imechamgia anguko la Chadema kwa kiasi kikubwa.

Mara kadhaa baadhi ya wanaJF tumeleta mabandiko ya kuwang'amua na mambo mengi lakini wameishia kutukana badala ya kujenga hoja ama kutafakari.

Naam,"sikio la kufa halisikii dawa" bado wameonekana wabishi kufikia hatua ya kufurahisha nafsi zao kwa kuleta mabandiko ya uongo Mfano. "Tundu kuhutubia Bunge la US" akili inayopuuza ukweli kwa kujifariji na ukweli kwa hakika ni dalili mbaya.

Kwa tabia hii ya kupenda kusikia habari za uongo hakika dhahma inawakabili.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tundu kuhutubia bunge la marekani tu walisema amealikwa white house na kwamba trump kasema lissu ni mmoja ya watu wenye akili nyingi duniani na angetamani awe raia wa marekani. Ndio ile kujitekenya ili wacheke. Wajinga kwelikweli lakini wanajiona wana akili. Tuliona ziara yake amerika ilivyopwaya. Kama aliiona white house labda kwa kupita njia ya magogoni washington.
 
Ndugu zangu,

Sisi waswahili tuna msemo "kuchamba kwingi.......",huenda msemo huu unarandana na tabia ya ''ujuaji'' waliyonayo viongozi na wafuasi wa CHADEMA.

Tabia ya kujua kufikiri wanajua kila kiti imechamgia anguko la Chadema kwa kiasi kikubwa.

Mara kadhaa baadhi ya wanaJF tumeleta mabandiko ya kuwang'amua na mambo mengi lakini wameishia kutukana badala ya kujenga hoja ama kutafakari.

Naam,"sikio la kufa halisikii dawa" bado wameonekana wabishi kufikia hatua ya kufurahisha nafsi zao kwa kuleta mabandiko ya uongo Mfano. "Tundu kuhutubia Bunge la US" akili inayopuuza ukweli kwa kujifariji na ukweli kwa hakika ni dalili mbaya.

Kwa tabia hii ya kupenda kusikia habari za uongo hakika dhahma inawakabili.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama huandiki hii mada yako kiushabiki basi tuambie pia nini kinaiangusha CCM!?
 
ukiona pinzani wako anakupa ushauri na kukuonya kwa lengo la kukutakia mema mtizame mara mbilimbili, anaweza kuwa mchawi!
 
Ndugu zangu,

Sisi waswahili tuna msemo "kuchamba kwingi.......",huenda msemo huu unarandana na tabia ya ''ujuaji'' waliyonayo viongozi na wafuasi wa CHADEMA.

Tabia ya kujua kufikiri wanajua kila kiti imechamgia anguko la Chadema kwa kiasi kikubwa.

Mara kadhaa baadhi ya wanaJF tumeleta mabandiko ya kuwang'amua na mambo mengi lakini wameishia kutukana badala ya kujenga hoja ama kutafakari.

Naam,"sikio la kufa halisikii dawa" bado wameonekana wabishi kufikia hatua ya kufurahisha nafsi zao kwa kuleta mabandiko ya uongo Mfano. "Tundu kuhutubia Bunge la US" akili inayopuuza ukweli kwa kujifariji na ukweli kwa hakika ni dalili mbaya.

Kwa tabia hii ya kupenda kusikia habari za uongo hakika dhahma inawakabili.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatwanga maji kwenye kinu mkuu! Ili uwe kamanda lazima uitukane serikali happy utakuwa na wafuasi lukuki! Sifia hata kinachoonekana uone majibu utakayopewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Sisi waswahili tuna msemo "kuchamba kwingi.......",huenda msemo huu unarandana na tabia ya ''ujuaji'' waliyonayo viongozi na wafuasi wa CHADEMA.

Tabia ya kujua kufikiri wanajua kila kiti imechamgia anguko la Chadema kwa kiasi kikubwa.

Mara kadhaa baadhi ya wanaJF tumeleta mabandiko ya kuwang'amua na mambo mengi lakini wameishia kutukana badala ya kujenga hoja ama kutafakari.

Naam,"sikio la kufa halisikii dawa" bado wameonekana wabishi kufikia hatua ya kufurahisha nafsi zao kwa kuleta mabandiko ya uongo Mfano. "Tundu kuhutubia Bunge la US" akili inayopuuza ukweli kwa kujifariji na ukweli kwa hakika ni dalili mbaya.

Kwa tabia hii ya kupenda kusikia habari za uongo hakika dhahma inawakabili.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Reform vyama vya upinzani Tanzania kuunda chama kimoja huu ndio ukombozi wa kweli - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Sisi waswahili tuna msemo "kuchamba kwingi.......",huenda msemo huu unarandana na tabia ya ''ujuaji'' waliyonayo viongozi na wafuasi wa CHADEMA.

Tabia ya kujua kufikiri wanajua kila kiti imechamgia anguko la Chadema kwa kiasi kikubwa.

Mara kadhaa baadhi ya wanaJF tumeleta mabandiko ya kuwang'amua na mambo mengi lakini wameishia kutukana badala ya kujenga hoja ama kutafakari.

Naam,"sikio la kufa halisikii dawa" bado wameonekana wabishi kufikia hatua ya kufurahisha nafsi zao kwa kuleta mabandiko ya uongo Mfano. "Tundu kuhutubia Bunge la US" akili inayopuuza ukweli kwa kujifariji na ukweli kwa hakika ni dalili mbaya.

Kwa tabia hii ya kupenda kusikia habari za uongo hakika dhahma inawakabili.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app

bila ujuaji leo ungeweza kutumia jf na wewe unatoa uzi.ulitaka uwe zezete leo hiyo jf ungesoma kwenye gazeti la serekali
 
Back
Top Bottom