Tabia ya trafiki kukamata magari na kuyatoza faini kwa kosa dogo imekaaje?

Swali la msingi kwako...Hizo faini unazopigwa ni za halali au si halali?????.......

Kingne unataka wawaonee huruma wangapi????

Sasa ulitaka waandike kosa la aina gani?????

Nyie ndio mnaotuletea ajali za kila kukicha Barabarani kwa kutokuwa makini kabsa......AFU UNAKUJA KULIA LIA HUMU JF....
Upuuuzi mtupu
Kaka umemaliza kila kitu
 
Habari za muda huu wana jf.Nina Swali naomba kujibiwa.Hivi INAWEZEKANA nchi yetu hii Tanzania Magari yote yakawa mapya nchi nzima?Niulize kwa nini nimeuliza hili swali!

Nimeuliza hili Swali kwa kuwa kuna maafisa wetu wa barabarani wanakamata Magari kwa kosa Dogo tu na kutoza fine bila ya huruma.

Kwa mfano mimi mwezi wa kumi na mbili nimenunua Gari jipya (yaani limetoka kwenye karatasi) la kubeba mchanga,Tofali,Kokoto na bidhaa za ujenzi.kulingana na bidhaa na shughuli ninazo Fanya gari kugongwa na kuumia ni jambo la kawaida.

Sasa gari langu lilipata mpasuko kidogo kwenye taa za nyuma za brake lakini nikaandikiwa kosa kuwa taa imevunjika.

Gari limekwenda kupakia mchanga likapoteza plate number za nyuma bila kufahamu, nikasimamishwa kukaguliwa wakakuta number haipo, nikawaeleza hata Mimi sijui kama namba haipo, hawakutaka kunielewa wakanitoza fine, Traffic anakuandikia Leo kwa kosa la kuchakaa kwa Rangi ya gari, CHA KUSHANGAZA WATATUMIA KOSA HILO HILO KILA SIKU KUKUPIGA FINE!!!

Kwanini ukiliandikia gari kosa la uchakavu mbona usimpe Mwenye gari muda wa wiki kujikusanya ili aweze kulitengeneza gari lake ndo uje kumwandikia fine tena?

Unavyolipiga fine Hilo gari kila siku unategemea mwenye gari atatoa wapi hela za kulifanyia ukarabati?? Au mnadhani hela ziko hapo tuu zinaenda kuchotwa gari lina karabatiwa Au mlitaka gari liache kutembea barabarani ili mfurahie?

Hamuoni kama gari likiwa halifanyi kazi hamna uzalishaji na ni hasara kwa taifa? Mwenye gari ikifika muda wa kulipa Kodi atalipa na nini wakati gari lilikuwa halizalishi?

Huo ndo huwa mwanzo wa kuporomoana kiuchumi kama taifa, kwasababu Mimi nikianguka kiuchumi hata wewe uliyenifanya nisifanye kazi utahadhirika kwa njia Moja au nyingine.

NCHI HII MAGARI YOTE HAYAWEZI KUWA MAPYA NA TUSIPIGANE FINE KWA KUKOMOANA. TUTUMIE UBINADAMU
Mkuu unakosea,malalamiko yako hayana mashiko!
Umesema kila siku wanakupiga faini kwa kosa hilohilo,kwanini usirekebishe?!
.
Halafu hapo umedanganya!sheria inasema ukipigwa leo kwa kosa la taa kuvunjika basi unatakiwa ukae ndani ya siku saba bila kutozwa tena kwa kosa hilohilo!sasa wewe unatozwa faini kila siku kwa kosa hilohilo?!.
.
Hakuna sheria inayosema uonewe huruma kwa sababu hukujua kama Plate namba imedondoka!
Makosa yako ndio mtaji wao,rekebisha taa,kaza hizo plate namba vizuri zisidondoke..
.
Wakati mwingine kauli za madereva zinakera Traffic,na ndio maana unakuta hata kosa la Onyo traffic anakuandikia kwasababu ya kauli zetu zenye maudhi,madereva wengi hasa wa magari madogo ni wajeuri kupitiliza,ubishi mwingi,na kwa wakati huu wa Magufuli watu wabishi wataumia sana maana Raisi yuko upande wa Askari,anataka Polisi wawe wakaliiii!!
Kwa hiyo kuwa mwangalifu
 
acha ujinga! inawezekana we ni polisi mnufaika na huu upuuzi, makosa mengine unaweza kumuonya driver bila kuandika notification, mi nimewahi andikiwa notification kwa kuibiwa indicator ndogo za kwenye mud guard na ziliibwa mida hiyo hiyo manake hata waya wanaona bado inaning'inia. wakati huo kmwingine kaandikiwa kwa kuibiwa side mirror, bado hizo fine ni halali? traffic police wote wezi
We kwanini uibiwe hizo taa? Na wewe si ungeiba uweke.
 
Mkuu unakosea,malalamiko yako hayana mashiko!
Umesema kila siku wanakupiga faini kwa kosa hilohilo,kwanini usirekebishe?!
.
Halafu hapo umedanganya!sheria inasema ukipigwa leo kwa kosa la taa kuvunjika basi unatakiwa ukae ndani ya siku saba bila kutozwa tena kwa kosa hilohilo!sasa wewe unatozwa faini kila siku kwa kosa hilohilo?!.
.
Hakuna sheria inayosema uonewe huruma kwa sababu hukujua kama Plate namba imedondoka!
Makosa yako ndio mtaji wao,rekebisha taa,kaza hizo plate namba vizuri zisidondoke..
.
Wakati mwingine kauli za madereva zinakera Traffic,na ndio maana unakuta hata kosa la Onyo traffic anakuandikia kwasababu ya kauli zetu zenye maudhi,madereva wengi hasa wa magari madogo ni wajeuri kupitiliza,ubishi mwingi,na kwa wakati huu wa Magufuli watu wabishi wataumia sana maana Raisi yuko upande wa Askari,anataka Polisi wawe wakaliiii!!
Kwa hiyo kuwa mwangalifu
BILA KUULIZA WEWE NI NANI!;! NIMEGUNDUA WEWE TRAFFIC
 
Faini za barabarani zina macho mkuu,wewe unaweza ukapigwa faini kwa aili ya taa za nyuma ,wakati huyo kuna mwingine hana taa zote na akapita bila kuulizwa zaidi ya salamu
 
Mkuu, kwa hiyo point yako ni nini? kwamba traffic wameshaonya na kuelekeza sana kwa hiyo sasa ni kupiga faini tu? you must be an idiot to think that way.

Yes, I am idiot na wewe ni mwenye akili sana kushinda hata Mungu aliyewaumbia binadamu jehanamu. Wewe unawafahamu zaidi wanadamu kuliko Mungu. Kijana uliyejaaliwa akili lakini huitumii kufikiri unaitumia kufanya uzandiki na kupika majungu.
 
Habari za muda huu wana jf.Nina Swali naomba kujibiwa.Hivi INAWEZEKANA nchi yetu hii Tanzania Magari yote yakawa mapya nchi nzima?Niulize kwa nini nimeuliza hili swali!

Nimeuliza hili Swali kwa kuwa kuna maafisa wetu wa barabarani wanakamata Magari kwa kosa Dogo tu na kutoza fine bila ya huruma.

Kwa mfano mimi mwezi wa kumi na mbili nimenunua Gari jipya (yaani limetoka kwenye karatasi) la kubeba mchanga,Tofali,Kokoto na bidhaa za ujenzi.kulingana na bidhaa na shughuli ninazo Fanya gari kugongwa na kuumia ni jambo la kawaida.

Sasa gari langu lilipata mpasuko kidogo kwenye taa za nyuma za brake lakini nikaandikiwa kosa kuwa taa imevunjika.

Gari limekwenda kupakia mchanga likapoteza plate number za nyuma bila kufahamu, nikasimamishwa kukaguliwa wakakuta number haipo, nikawaeleza hata Mimi sijui kama namba haipo, hawakutaka kunielewa wakanitoza fine, Traffic anakuandikia Leo kwa kosa la kuchakaa kwa Rangi ya gari, CHA KUSHANGAZA WATATUMIA KOSA HILO HILO KILA SIKU KUKUPIGA FINE!!!

Kwanini ukiliandikia gari kosa la uchakavu mbona usimpe Mwenye gari muda wa wiki kujikusanya ili aweze kulitengeneza gari lake ndo uje kumwandikia fine tena?

Unavyolipiga fine Hilo gari kila siku unategemea mwenye gari atatoa wapi hela za kulifanyia ukarabati?? Au mnadhani hela ziko hapo tuu zinaenda kuchotwa gari lina karabatiwa Au mlitaka gari liache kutembea barabarani ili mfurahie?

Hamuoni kama gari likiwa halifanyi kazi hamna uzalishaji na ni hasara kwa taifa? Mwenye gari ikifika muda wa kulipa Kodi atalipa na nini wakati gari lilikuwa halizalishi?

Huo ndo huwa mwanzo wa kuporomoana kiuchumi kama taifa, kwasababu Mimi nikianguka kiuchumi hata wewe uliyenifanya nisifanye kazi utahadhirika kwa njia Moja au nyingine.

NCHI HII MAGARI YOTE HAYAWEZI KUWA MAPYA NA TUSIPIGANE FINE KWA KUKOMOANA. TUTUMIE UBINADAMU
B Uchi
 
Daaaa hiy Kali xan maan hao matrilafik huwaga wanawatoza fain hata kosa dog lkn hela kubwa kupita kiasia
 
Back
Top Bottom