Tabia ya MCCM kutotaka achia ndiyo inawaponza Kuanbika km hii mizigo mingine

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
CCM wana ugonjwa wa kutwajibika na kuwa militants wakati wakitakiwa wajibika ktk matukio mabatya na yenye hasara kwa taifa. Hii mepelekea mawaziri km akina masha, karamagi,Nkya, na wengine wengi achilia hawa wa sasa kudhalilika .

Haya magamba km yangefanya maamuzi bado yangetoka kwa heshima kuliko kusubiri wakidhani wanalinda chama ,kumbe wanajisogeza ktk aibu kubwa sana.Wanaongeza hasara na kujimaliza kabisa.

Ukiwauliza mawaziri aka mizigo iliyotolewa kwa aibu walikuwa wanakoa nini km walishindwa iabisha serikali kwa kujiuzulu na kuliambia taifa kuwa wamejiuzulu kwa vile hwakupewa hela,au kwa vile walihujumiwa, au kwa vile wanaona hakuna namna ya kufany akazi vyema kwa jinsi CCM wameiba hela.Sasa walidhani wanaiokoa roho yao kumbe wanaiangamiza zaidi,

Hili pia liwe somo kwa akina zitto, mwampamba, na wengine wanoaua upinzani na kuficha haki za watu wakidhani watajiokoa mbele ya CCM .Kumbe CCM ni genge la wahuni walio tayarai mtoa yeyote kafara ili waovu wakubwa wapone.Tazama leo waziri wa mali asili anawajibishwa na jangili katibu mkuu wa chama.
 

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,838
2,000
Akili za bavicha znahesabika et,,,tema mate tumchapeeeee kubwa jinga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom