Tabia ya kushika / kuchungulia simu za waume / wake zenu muache!! Ohooooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia ya kushika / kuchungulia simu za waume / wake zenu muache!! Ohooooo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Oct 15, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Amani kwenu wakuu! (Wakubwa Shikamooni)

  Leo ujio wangu si wa Verse moja nyingi Baba V LOL!

  Kweli ile tabia ya kuperuzi na udadisi simu za patner wenu muache!!! Tena unakuta mtu anatime mwenzie anaoga anafanya thera checkup ya simu kuanzia inbox, outbox, call log, sms counter(incase zilifutwa), emails na call time summary. Hapo unakuta kakunja nne kabisa, kinotebook mkononi na juisi pembeni, kwa raha zake.

  Mwenzenu Mamushka mmoja lilimkuta la kumkuta kati kati ya kuperuzi na kudadisi, Mumewe kufika kaingia chooni, yeye si akazama kunako koti na kukitia kilongalonga kunako 18 zake maoja kwa zote kwenye sms si ndo kukuta huu ujumbe!!!!

  "BWANA MKWE FANYA UTARATIBU UTAFUTE NJIA ZA KIDIPLOMASIA KUMWAMBIA MKEO KUWA MAMA YAKE AMEFARIKI GHAFLA LEO MCHANA HUKU KIJIJINI, NA MFANYE UTARATIBU WA KUJA MAZISHINI!!!! UTAFUTE UJANJA WA KUMWAMBIA SABABU ANA PRESSURE KALI SANA YULE SI UNAJUA, HATA SISI HATUJAMWAMBIA NDO TUNAKUTEGEMEA!!!!"

  Kilisikika kishindo tu cha Mtu kudondoka na pressure!!!!

  SMTMS ITS NOT WORTH IT!!!!!.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hamsikiii women......
  mtakufa kwa pressure lol
   
 3. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  He he he...this is funny, yalimkuta yaliyomkuta!.
   
 4. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kama mlikubali na kuapa mbele ya kasisi kuwa mu-mwili mmoja mnashindwa nini kushare simu zenu?! What is the mission behind?!
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huwa nasema daily,simu ya mwenzio ni yake!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hapa mtanisamehe kwa kweli....siri ya ridhiko langu ni niangalie maendeleo ya simu.....
   
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mda mwengine ndo kama hivo, jambo hukutakiwa kulijua ndo walijua hivoooo!!!!
   
 8. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  preta,kule uliandika uko divorced, niliumiaaaa!
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  am in favour of all ladies ambao wanacheki simu za waume zao....wanaume tuwe wakweli tuu kama unataka kuwa na mke basi kuwa open na dealings zako sio tunaficha mabaya yetu.
   
 10. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dah!
  Tatizo Unaowapa Kitchen Party, Wote Changanyikeni!!
  Pole Mama Kwa Kupoteza Mda Wako!!
   
 11. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  na Mimi!
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mi simpi mtu kitchen party nimesema tu tukio lililotokea!!!! Ohoooo!
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Inataka moyo sana wakti mwingine kuishi bila kujua maisha ya mawasiliano ya mwenzio..lol
   
 14. t

  tmasi de masio Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  umenena
   
 15. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mie sichunguz phone ya m2 hata m2 akichunguza yangu idont care!
   
 16. Chelian

  Chelian Senior Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  serious!!!
  kweli kabisa Preta!
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  this one is enough for me to sleep goodnight lara 1 see yoo later
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Chelian

  Chelian Senior Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Umenifurahisha sana leo!
  Somo liko tyt kweli,
  But ni muhimu sana kujua kinachoendelea kwenye simu ya mwenzi wako
  What if huo ujumbe ungekua unatoka kwa mamake mzazi kwenda kwa mmewe akimshukuru kwa kumkuna vzr?
  si angezimia pia!!

  Mi naona easy 2
  na ni mpekuzi mzuri tuu!!
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mama kirangaa iko khaaa...
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  tena huwa nafanya ukaguzi wa kushtukiza kama ule wa Mwakembe.......
   
Loading...