Tabia ya kushangilia goli ndani ya kibanda umiza kabla kufungwa kwenye TV kwa watu wanaoingia na radio imesababisha nimpasue mtu jicho

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,208
Amenikera sana hapo jana, Mpira upo kwenye move lakini ghafla unaona anashangalia. Alifanya hivyo kwa goli la kwanza nikachuna, la pili nikapiga kimya sasa la tatu nalo nikapotezea.

Ishu ni pale alipojaribu kushangilia goli la nne huku mie bado naangalia mpira, alikutana nayo ya uso na kabla hajaelewa nikamzimisha na heavy weight nyingine mpaka nilipohakikisha amepoteana. Watu wengine mnakera kama huwezi sikiliza redio yako nyumbani.
 
Kuna watu wanaudhi mmekaa mnaangalia mpira yeye kaja nq redio anaanza kushangilia si bora angebaki nq radio yake nyumbani akasikiliza.
 
Ulifanya la maana sana, kuna mmoja hivyo hivyo niliwahi mpasua Korodani aka Mapumbu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom