Tabia ya kula haraka

Nimekua na tabia ya kula chakula haraka mno yani mpaka najishangaa, nikijaribu kula taratibu siwezi kabisa naona kama chakula kinakua siyo kitamu kabisa.

Kuna siku nilienda ugenini nikaandaliwa chakula na palikua na mtoto mdogo ambaye alikua anaangalia tv na mama ake alikua yupo jikoni, yani ndani ya Dakika tano nikawa nimemaliza msosi wote.

Ile mama anaingia sebuleni anakuta sahani nyeupe akamuita mtoto nje akaanza kumuadhibu kwamba kwa nini alikula chakula cha mgeni.
mkuu mara ya mwisho kutumia dawa za minyoo ilikuwa lini?
 
Nimekua na tabia ya kula chakula haraka mno yani mpaka najishangaa, nikijaribu kula taratibu siwezi kabisa naona kama chakula kinakua siyo kitamu kabisa.

Kuna siku nilienda ugenini nikaandaliwa chakula na palikua na mtoto mdogo ambaye alikua anaangalia tv na mama ake alikua yupo jikoni, yani ndani ya Dakika tano nikawa nimemaliza msosi wote.

Ile mama anaingia sebuleni anakuta sahani nyeupe akamuita mtoto nje akaanza kumuadhibu kwamba kwa nini alikula chakula cha mgeni.
Hata mimi nipo hivyo
 
Una element za kiwazi Jeshi au Mchwa
 
Dah! Mimi hiyo ni tabia yangu nakula fasta sana, nakumbuka zamani pindi tupo Home bado kuna desturi ile ya kula kijamaa masikani walikua wakizani nakula kidogo sana sababu Daily mimi nilikua wa kwanza kushiba hivyo wakajua mimi nakula kidogo sana kumbe mi nipo faster wakati wao wana tonge mbili mi nishapiga tano so nilikua nashiba faster then nawaacha wao wakiendelea
Sema faida ya kula faster ua naiona pindi ninapo safiri pale basi linapofika hotelini then mnapewa dakika kumi kula msosi yahani mimi dakika tano nyingi nishamaliza shuguli then naanza kuwacheki wengine wanavyoangaika na misosi
 
Au ulipitia depo mkuu!!!

Huyo ni mim kabisaa!!! Na huwa wananishangaa sanaa!!!!!
 
Back
Top Bottom