Tabia ya kuchungulia wallet...

Jamani,kiukweli sichukii watu kuchungulia waleti,ila nachukia sana demu wangu kuichungulia,hasa tukiwa faraghani,yani umepanga mtumie kiasi fulani,akiiona waleti imekata pembe tu,duh atatangaza shida hapo hapo! Nachoka!
 
wanachungulia ili labda kujua wewe ni mtu wa aina gani kama una mihela au mijihela.
 
Kuchungulia ni kutaka kujua muamala. Lakini ukiwa kwenye first date bora uweke mahesabu kumkichwa ujue salio sh ngapi. Unaweza kumtisha binti badala ya kuagiza red bull ataagiza fanta akiona unadekshia sana wallet.
 
Back
Top Bottom