Tabia ya kuchungulia wallet... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia ya kuchungulia wallet...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Boflo, Mar 13, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hivi kwa nini wabongo wengi wana tabia ya kuchungulia wallet? Ninasema haya kwa sababu yameshanitokea sehemu nyingi, kama ukienda saloon(kiume au kike) ukitoa wallet kama unataka kulipa utaona watu wanachungulia wallet yako, wakiona manoti yamejipanga, utaanza kuambiwa naomba chenji??, au utaona Janadume zima linajipendekeza kwako na kuanza kujichekesha chekesha na kukusifia, hata ukienda bar, shopping centre, ukitoa wallet ilonona, utaona mijitu inakodoa macho utadhani wanalenga manati !! Hii tabia si nzuri tujirekebishe jamani, hii tabia ndiyo inayosababisha Wanawake wengi kumegwa kirahisi na Wanaume kuwa si rizki.
  money.jpg [FONT=&amp]
  [/FONT]
   
 2. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,377
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Mbona na wewe unatuonesha hapa?
   
 3. tovuti

  tovuti Senior Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hehe heeeeeeee Boflo umenichekesha sanaaaaa, unachoongelea kina ukweli ndani, hii yote inatokana na njaa
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Mwanamme wallet babu
  nani anataka mwanamme shati?
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  kuchungulia wallet kuna raha yake babu weeeee........
   
 6. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Enheee Preta......raha gani hiyo, fafanua kidogo, au ndio unaipigia mahesabu
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mie sihitaji waleti ila mifuko yote minne ya suruali ina minoti...
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Kuna ka ukweli vileeee
   
 9. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,374
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  heh heh heh, u got us
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,274
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  hahahahahaha..

  na suruali
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,496
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mi sitembei na wallet nabebaga mfuko wa rambo umejaa njuru tupu .
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,103
  Likes Received: 3,867
  Trophy Points: 280
  anayekuomba uifungue ni nani.
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,938
  Likes Received: 5,089
  Trophy Points: 280
  hiyo ni involuntary action...loh!!!:wink2:
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,986
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna (beauty) salon za kiume?
   
 15. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ww Nyani wa baliyabambashi hufanyi facial? pedicure or manicure?

  zote ziko saloon wanaume wanafanya
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,986
  Trophy Points: 280
  Aisee Boflo mimi sifanyi hayo mambo.

  Wewe unafanya?
   
 17. S

  Skype JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Samahani mkuu, nimekua nikitatizwa na uchangiaji wako humu jf, kuna wakati hua unachangia hoja kama wewe ni jinsia ya kike na kuna wakati mwingine kama jinsia ya kiume. Nipe ufafanuzi japo niondokane na utata huu.
   
 18. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mambo hayo ni muhimu kwa mwanamme wa kisasa, mwanamme sharti awe na madoido,

  Kijiji unachotoka kinaitwa Baliyabambashi au?
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,986
  Trophy Points: 280
  Boflo kwani hujui kusoma? Kinaitwa Ikungulyabashashi. Hebu jaribu kutamka hilo jina kwa sauti.
   
 20. L

  Lady G JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahahaaa hatakama hujasalimiwa mlivyopishana mlangoni, ikichunguliwa wallet utasalimiwa dodii
   
Loading...