Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

kila mtu ana tabia yake ambayo huenda mwenza wake inamkera au itamkera kwenye maisha ya ndoa lakini kamwe hawezi kuiacha

kwa wale walioa ni tabia gani wameshindwa kuziacha wakati huu wa maisha yao ya ndoa

Au sisi tutakaokuja kuoa ni tabia gani tunahisi tutashindwa kuziacha katika maisha yetu ya ndoa

mfano mimi : KUBETI siwezi acha hata nikioa
Kutovipa umuhimu vitu vidogo vidogo kama kutandika kitanda, birthday party, kununua chumvi, etc
 
kila mtu ana tabia yake ambayo huenda mwenza wake inamkera au itamkera kwenye maisha ya ndoa lakini kamwe hawezi kuiacha

kwa wale walioa ni tabia gani wameshindwa kuziacha wakati huu wa maisha yao ya ndoa

Au sisi tutakaokuja kuoa ni tabia gani tunahisi tutashindwa kuziacha katika maisha yetu ya ndoa

mfano mimi : KUBETI siwezi acha hata nikioa
Kubet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom