Tabia nzuri ni kwa jinsia ya "ke" tuu!?

Toffee

Member
Apr 21, 2013
80
25
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana jamvi.

Natumai mu wazima na mmeuanza mwaka vyema, lakini kwakua katika maisha hatuwezi kua na furaha tuu, kwa wenye masahibu yoyote Mwenyezi Mungu awape wepesi.

Kama nilivyo eleza hapo juu, unakuta kijana kapiinda lakini linapokuja swala la kuoa utamsikia eti
'Natafuta binti alietulia" wakati yeye mwenyewe hajatulia suluari chini ya makalio mwendo wenyewe
Utadhani Gari ilio katika center bolt.
Mtaendana na Binti full Hijabu kaachia macho tuu?
Matokeo yake Ndoa za namna hii ukipita baada ya muda mfupi, utazikuta chali kifo cha mende.
Tubadilike waungwana vinginevyo tutaishia kusema
kwa sasa hakuna Ndoa.

Tuombe,
Mwenyezi Mungu atubariki kunako mwaka huu tulio uanza,
uwe ni mwaka wa mafanikio tele.
'Hadi wakuda washangae"
 
Natumai mu wazima na mmeuanza mwaka vyema, lakini kwakua katima maisha hatuwezi kua na furaha tuu, kwa wenye masahibu yoyote Mwenyezi Mungu awape wepesi.

Kama nilivyo eleza hapo juu, unakuta kijana kapiinda lakini linapokuja swala la kuoa utamsikia eti
'Natafuta binti alietulia" wakati yeye mwenyewe hajatulia suluari chini ya makalio mwendo wenyewe
Utadhani Gari ilio katika center bolt.
Mtaendana na Binti full Hijabu kaachia macho tuu?
Matokeo yake Ndoa za namna hii ukipita baada ya muda mfupi, utazikuta chali kifo cha mende.
Tubadilike waungwana vinginevyo tutaishia kusema
kwa sasa hakuna Ndoa.

Tuombe,
Mwenyezi Mungu atubariki kunako mwaka huu tulio uanza,
uwe ni mwaka wa mafanikio tele.
'Hadi wakuda washangae"

Ebwana dah
 
Asante.......naona mwaka unaanza kuwa mzuri,hata wanawake wanahitaj mwanaume mwenye tabia nzuri vile vile,unafikir kuna mwanamke anapenda mwanaume mlevi? la hasha!
 
Nawaombea wanajf (me) wote waliokua hawajaoa Mungu atufanyie wepesi mwaka huu na wanawake waolewe.....
Cc Zinduna
 
Last edited by a moderator:
Asante.......naona mwaka unaanza kuwa mzuri,hata wanawake wanahitaj mwanaume mwenye tabia nzuri vile vile,unafikir kuna mwanamke anapenda mwanaume mlevi? la hasha!

good-girls-love-bad-boys.jpeg
 
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana jamvi.

Natumai mu wazima na mmeuanza mwaka vyema, lakini kwakua katika maisha hatuwezi kua na furaha tuu, kwa wenye masahibu yoyote Mwenyezi Mungu awape wepesi.

Kama nilivyo eleza hapo juu, unakuta kijana kapiinda lakini linapokuja swala la kuoa utamsikia eti
'Natafuta binti alietulia" wakati yeye mwenyewe hajatulia suluari chini ya makalio mwendo wenyewe
Utadhani Gari ilio katika center bolt.
Mtaendana na Binti full Hijabu kaachia macho tuu?
Matokeo yake Ndoa za namna hii ukipita baada ya muda mfupi, utazikuta chali kifo cha mende.
Tubadilike waungwana vinginevyo tutaishia kusema
kwa sasa hakuna Ndoa.

Tuombe,
Mwenyezi Mungu atubariki kunako mwaka huu tulio uanza,
uwe ni mwaka wa mafanikio tele.
'Hadi wakuda washangae"

4f310cd4287a7_f528764d624db129b32c21fbca0cb8d6
 
Tatizo hawamtaki Mungu aliyesema atakutafutia msaidizi wa kufanana nawe sasa wanajitafutia wenyewe ndo wanakuja na slogan zao ndoa ndoana, mie sijaona maisha mazuri kama ya kuwa kwenye ndoa.
 
Kama ni kuhondomola, unahondomola kwa kujiyagalula.
 
Back
Top Bottom