Toffee
Member
- Apr 21, 2013
- 80
- 25
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana jamvi.
Natumai mu wazima na mmeuanza mwaka vyema, lakini kwakua katika maisha hatuwezi kua na furaha tuu, kwa wenye masahibu yoyote Mwenyezi Mungu awape wepesi.
Kama nilivyo eleza hapo juu, unakuta kijana kapiinda lakini linapokuja swala la kuoa utamsikia eti
'Natafuta binti alietulia" wakati yeye mwenyewe hajatulia suluari chini ya makalio mwendo wenyewe
Utadhani Gari ilio katika center bolt.
Mtaendana na Binti full Hijabu kaachia macho tuu?
Matokeo yake Ndoa za namna hii ukipita baada ya muda mfupi, utazikuta chali kifo cha mende.
Tubadilike waungwana vinginevyo tutaishia kusema
kwa sasa hakuna Ndoa.
Tuombe,
Mwenyezi Mungu atubariki kunako mwaka huu tulio uanza,
uwe ni mwaka wa mafanikio tele.
'Hadi wakuda washangae"