Tabia na kabila

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
15
Wamama watatu (mchagga,
mgogo na mhaya) walijifungua
watoto, bahati mbaya manesi
wakawachanganya, kuwatambua
ikawa vigumu, ikabid watafute
mbinu ya kuwatambua. Dokta
akarusha coin ya tsh20
ilipodondoka sakafuni, mtoto wa
kwanza akashtuka na kupepesa
macho, wakajua haka kachaga
(mabiznes pipo). Wa pili alipockia
ule mlio wa coin, kapanua miguu
wakajua kahaya, (kanawaza
ngono) katoto ka mwisho
kalinyoosha mikono wakajua
haka kagogo! (Ombaomba)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom