Tabia mbalimbali za majipu

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Sep 17, 2014
1,755
1,566
Huwa yana kawaida ya kutumbuka yenyewe yakiiva vya kutosha.

Huwa ni vigumu sana kuyaficha maana mengi hutokea sehemu nyeti kama kwenye kwapa, kwenye maungio ya miguu au mikono ..... (nyingine utaongezea)

ikifikia hatua jipu limeiva litatumbuka hata kama lipo kwenye JICHO

sehemu yalipo huwa panakuwa na maumivu makali endapo pataguswa hata kama jipu halijaiva vya kutosha.

ongezea tabia nyingine za majipu
 
Mwenye jipu ubadiri mwondoko kijikinga na maumivu lakini hii utegemea jipu liko sehemu gani.
Mfano kwapani, utamkuta mwenye jipu anatembea ameinua mkono juu kidogo utadhani anamikogo kumbe!!!!jipu

hahahaaaa nimeipenda hiyo kwa hyo sometyms jipu linaweza kumfanya wenye nalo awe na mikogo
 
Mengine huwa yanatabia ya kunywea yenyewe, yakipata liche nzuri kama mchicha,matunda... na mengine ukipaka gentleson yana nywea!
 
Mengine huwa yanatabia ya kunywea yenyewe, yakipata liche nzuri kama mchicha,matunda... na mengine ukipaka gentleson yana nywea!

ila huacha alama hata kama litanywea, alama itategemeana na ukubwa wa jipu lenyewe
 
Back
Top Bottom