Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,781
- 3,070
1. Mshahara haujawahi kutosha.
2. Ongezeko la mshahara huwa haliendani na ukuaji wa gharama za maisha.
3. Mshahara huwa unaleta uteja, unapozoea kupokea kila mwezi unakuwa kama mlevi.
4. Mishahara huwa haikutani.
5. Mshahara hutengeneza tabia ya ukopaji sugu ambayo inakuwa mzigo zaidi.
6. Mshahara ni rushwa unayopewa ili usiishi ndoto zako.
7. Mwajiri anakulipa kiasi kidogo kiasi kwamba hutaacha kazi.
8. Mshahara unatengeneza wategemezi wengi, unapokuwa na mshahara kila mtu anajua lini umeupata.
9. Huwezi kutajirika kwa mshahara, bali utatajirika kwa kile unachofanya na mshahara huo.
10. Watu wengine ndiyo wanaoamua kiasi gani cha mshahara ulipwe.
Kama umechoshwa na mshahara ambao haukuwezeshi kupiga hatua, basi unapaswa kuwa na kitu cha pembeni ambacho kinakuingizia kipato.
Kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA, kinakupa mwongozo sahihi kwako kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa kwenye ajira.
Pata nakala ya kitabu hiki leo kwa kutumia mawasiliano yafuatayo: 0678 977 007 au 0752 977 170.