Tabia inayokera kutoka kwa wanywaji uchwara

Turudi pale Rau Madukani

JF-Expert Member
Jan 16, 2016
2,149
4,706
Yaani tumekuja kunywa balimi. Sasa muda wa kula umefika, mwenzetu kaagiza kilo ya chair fire na mchicha pilipili na kachumbari.
Cha ajabu amekata nusu katia kwenye mfuko wa nailoni (hii hii iliyopigwa marufuku) kasema mwanae huwa anapenda sana hiyo.
Hapa tumekula nusu hata hatujashiba.
Mwenzangu hapa kasema anamchomekea kwa waziri wa mazingira kuwa fulani anatembea na kamfuko ka plastiki kwa ajili ya kubebea nyama iliyopikwa.
 
Mr Easy mzee wa ganda la ndizi naona jina lako linasadifu jinsi ulivo,mkuu huoni aibu kuja na uzi kulalamika umegharamiwa na mwanaume kuwa hujashiba..! Wanaume tumebaki wachache sana
 
Yaani tumekuja kunywa balimi. Sasa muda wa kula umefika, mwenzetu kaagiza kilo ya chair fire na mchicha pilipili na kachumbari.
Cha ajabu amekata nusu katia kwenye mfuko wa nailoni (hii hii iliyopigwa marufuku) kasema mwanae huwa anapenda sana hiyo.
Hapa tumekula nusu hata hatujashiba.
Mwenzangu hapa kasema anamchomekea kwa waziri wa mazingira kuwa fulani anatembea na kamfuko ka plastiki kwa ajili ya kubebea nyama iliyopikwa.
wote mliokaa hapo ni wachawi ila mmekosa vifaa tu vya kurogea
 
Yaani tumekuja kunywa balimi. Sasa muda wa kula umefika, mwenzetu kaagiza kilo ya chair fire na mchicha pilipili na kachumbari.
Cha ajabu amekata nusu katia kwenye mfuko wa nailoni (hii hii iliyopigwa marufuku) kasema mwanae huwa anapenda sana hiyo.
Hapa tumekula nusu hata hatujashiba.
Mwenzangu hapa kasema anamchomekea kwa waziri wa mazingira kuwa fulani anatembea na kamfuko ka plastiki kwa ajili ya kubebea nyama iliyopikwa.
Mwanaume unapata wapi tabia za umbea umbea ?
 
Nikiwa bar wanaokaa karibu yangu wanafurahi kwelikweli that's why wanafurahi sku nikitimba
 
mkuu huna koromeo kabsa.
balimi ninunue mimi
kulewa ulewe wewe
nyama ninunue mimi
na kushiba ushibe wewe.
ahaaaaa acha hizo na kwa taarifa yako
nilifika home hata harufu ya nyama sina 😂😂😂😂😂😂💃💃💃
 
Back
Top Bottom