Tabia hizi zinakera!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,585
5,758
Wana Jf
Nipo kijijini kwenye msiba, kuna tabia zinakera sana.
Kila unayekutana nae anataka umpe hela.
Nimetoka jioni kwenda kupooza koo, imekuwa kero.
Jamani inakuaje kijijini.. Ni huku kwetu tu au hata kwenu wapo?
 
Kwani huko kwenu ni kijiji gani?, sie kwetu hamubaga mambo za namna hii- nikienda likizo najirani hunikaribisha kwa vibuyu vya maziwa na nyama choma mpaka nakinai.
 
Kwani huko kwenu ni kijiji gani?, sie kwetu hamubaga mambo za namna hii- nikienda likizo najirani hunikaribisha kwa vibuyu vya maziwa na nyama choma mpaka nakinai.

nipo Kilimanjaro, Mwanga. Kuanzia wazee na vijana wanapiga mikuki.
 
Hili ni tatizo lipo sana, na kama una kazi basi wanajua mambo yako yapo safi. Usipowapa wanachotaka basi ni bifu la hatari.
 
Ulivoonyesha mikogo na kubadirisha lugha ulitegemea nini? Umeonyesha unazo sasa unashindwaje kutoa!
 
Huwezi amini nilipokuwa sec.nikirudu likizo wananiomba pesa.

Maisha bora kwa kila MTZ
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom