Kwenu mpwapwa au?
itakuwa moshi au rombo ndio kuna mambo hizo..
Kwenu mpwapwa au?
Umehama Mpwapwa?? Mbona unakukana kwenu??
nimehamia sitimbi.
Nikumbushe iko pande zipi hii sitimbi?
wakazie tu mana ukijichekesha sana utajikuta hata nauli huna