Tabia hii ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ya kuingiza watu kwenye foleni kibabe mnakera

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
6,703
8,481
Kama kichwa cha habari kisemavo
Muhimbili mgonjwa anasubiri kumuona daktari amefika toka sa 2 au 3 asubuhi anapewa namba labda 10 sasa hapo utaisoma namba kuja kuingia chumba cha daktari

Anakuja mtu saa 8 mchana amewakuta mmekaa kama mpo msibani anakaa dk 10 tu anaingia kumuona daktari kwa kutumia staff namba na si mmoja staff namba zinasomwa 5 ya raia wa kawaida 1.

Kujuana juana hadi kazini sio ishu kabisa hii
 
Back
Top Bottom