Tabia gani mbaya ambayo huipendi toka kwako?

Kila wakati kushika simu kuangalia meseji hata kama sijatumiwa text, yaan kuwa addicted na simu ... nakula nikiwa na simu . Naongea na mtu gafla nashika simu, nipo kikaoni gafla nachukua simu, naendesha gari gafla nimeshija simu. HIVI HAPA NASAIDIKAJE AU NIIVUNJE.
Ukipata suluhisho la hii tabia naomba unitag tafadhali sana..!!
 
Back
Top Bottom