Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

Na kwa wale wanaume wanaotaka kukaa siti moja na Binti..nunua siti ya kawaida..uwezekano wa kukaa na mrembo ni asilimia 80.
 
Tabia nyingine ambayo sipendi ni kukaa na mtu aliyejitanua utadhani siti 2 zote zake.

Mtu amejitanua katikati ya siti 2,badala akalie Moja.
Mtu anaenda kukaa,badala asogee ,anabaki amejitanua hivyohivyo,, Kuna watu sijui hata huwa wanawaza kwa kutumia nini!
Huyu ni Mimi kwanza sijui kukaa mwenzio nkikaa nataka nikunje mguu...napenda sana kusafiri na lift za watu ili niwe huru...kiukweli nawakeraga sana wanaopangwa na Mimi siti moja!


Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hapo sawa!yaani napenda raha jamani!na sipendagi kukaa na mwanamke mwenzangu kwenye gari

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hapa penyewe nishakunja zangu mguu.

Napenda kukaa na mwanaume,ila awe ananukia kama Dr THOMASS SANKARA .

Sipendi mtu wa kunuka kikwapa.
20211121_165824.jpg
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom