Tabata ndo inaongoza kwa usodoma na ugomora

Aisee sitokaa nisahau siku nmemkuta dem kwenye daladala nkiwa natoka tabata mawenzi naenda chuo NIT, nikachukua namba mzee nikaingia kazini kumuimbisha mtoto akanielewa. Mipango ikakaa sawa si tukapanga miadi. Ile nmekodi uwanja dem kaja anasema nataka bia nkampa idadi aliyokuwa anataka tukaenda uwanjani kula lile tunda la kati, duuh nashangaa katikati ya mechi duu ananiambia vipi back hutumii? Nliishiwa nguvu nikamwambia mama naomba vaa nguo ondoka haraka. Ile anagomagoma nikavaa mimi nkamuacha. Dah tabata shkamoo japo ndo hom.
Uliigonga ZIRO acha mbwembwe mkuu!
 
Kama kichwa kinavyojielezaa,

Kwa sasa hamna sehemu hapa Dar es Salaam inayoongoza kwa usodoma na ugomora kama Tabata kwa kifupi ile Sinza ya zamani imehamia Tabata.

Ufuska wote kwa sasa umehamia Tabata na kwa takwimu zilizopo Tabata ndo panaongoza kwa mashoga na wanaume wanaoishi na wanaume wenzao kama mume na mke yaani Tabata imejaa walaji na waliwaji.

Wazazi kuweni makini na watoto wenu nikimaanisha kuweni karibu nao na kuwapa malezi mazuri na kuwafundisha misingi mizuri kwa kuwapa elimu dunia na ya dini pia na wake kuweni makini na wanaume zenu usije shangaa hujawahi mfumania mumeo na mchepuko ukadhani kuwa ni mwaminifu sana u never know uchepukaji wake ni wa aina gani.

Hivyo kila abiria achunge mzigo wake(mume) na vifurushi vyake (watoto)

Msije sema hamkuambiwa
Weka picha la sivyo usituharibie tabata yetu
 
Mambo ya Toroka uje weekend kama hii unakutana na toto laini sana ..wanatoa laini za mitandao yote pendwa ushindwe mwenyewe ,watoto wa kiume teketeke wanaweza kukukodishia chumba ukawasugue...Dunia ina mengi hii ,usiku laana tupu.
 
Mimi mwenyewe nilishangaa kukutana na yule "*James delicious*" kitaa ya home hapa.

Nilishangaa sana, kumbe kambi imehamia kitaa huku.

Chonde chonde, hata unga hatuwaizii. Wakafie mbele.
 
Tabata ipi mkuu nimezaliwa mwaka 1950 hapa tabata nipo tu sijahama lakini sijawahi yaona hayo
Kwa umri wako wa kunyooshwa mgongo kitandani utayaoneaa wap .......enzi yako hata 40/40haikuwepo,wallet haikuwepo,copakaban haikuwepo,thegreatwall haiwepo,kwetu pazur haikuwepo,next dooor ndo kabisa huijui, sasa ww ntaanziaa wap kukuelezeaaa??huu ni muda wako wa kulinda wajukuu
 
Kama kichwa kinavyojielezaa,

Kwa sasa hamna sehemu hapa Dar es Salaam inayoongoza kwa usodoma na ugomora kama Tabata kwa kifupi ile Sinza ya zamani imehamia Tabata.

Ufuska wote kwa sasa umehamia Tabata na kwa takwimu zilizopo Tabata ndo panaongoza kwa mashoga na wanaume wanaoishi na wanaume wenzao kama mume na mke yaani Tabata imejaa walaji na waliwaji.

Wazazi kuweni makini na watoto wenu nikimaanisha kuweni karibu nao na kuwapa malezi mazuri na kuwafundisha misingi mizuri kwa kuwapa elimu dunia na ya dini pia na wake kuweni makini na wanaume zenu usije shangaa hujawahi mfumania mumeo na mchepuko ukadhani kuwa ni mwaminifu sana u never know uchepukaji wake ni wa aina gani.

Hivyo kila abiria achunge mzigo wake(mume) na vifurushi vyake (watoto)

Msije sema hamkuambiwa
VP yule mumeo hapumuliwi kwel??
 
Mambo ya Toroka uje weekend kama hii unakutana na toto laini sana ..wanatoa laini za mitandao yote pendwa ushindwe mwenyewe ,watoto wa kiume teketeke wanaweza kukukodishia chumba ukawasugue...Dunia ina mengi hii ,usiku laana tupu.
Umeonaaaa eeeeehe wanaume zetu ndo wanapobaniwaaa huko wakijaa hata ujigeuze vipi kitandani wanajikuta wamechokaa
 
ina maana Tabata imeizidi Kino kwa mashoga??
Mashoga wazeeee labda waliojichokeaaaa lakin tabata ni ma young juicy n smooth like kipande cha cake ya sponge yaan watoto walaini huko hajufai jaman.Tumuombe Mungu
 
hahahahah aiseee..
basi sawa.
 
Aisee sitokaa nisahau siku nmemkuta dem kwenye daladala nkiwa natoka tabata mawenzi naenda chuo NIT, nikachukua namba mzee nikaingia kazini kumuimbisha mtoto akanielewa. Mipango ikakaa sawa si tukapanga miadi. Ile nmekodi uwanja dem kaja anasema nataka bia nkampa idadi aliyokuwa anataka tukaenda uwanjani kula lile tunda la kati, duuh nashangaa katikati ya mechi duu ananiambia vipi back hutumii? Nliishiwa nguvu nikamwambia mama naomba vaa nguo ondoka haraka. Ile anagomagoma nikavaa mimi nkamuacha. Dah tabata shkamoo japo ndo hom.
Naomba namba yake. Kuna utafiti nafanya atanisaidia sana
 
Kama kichwa kinavyojielezaa,

Kwa sasa hamna sehemu hapa Dar es Salaam inayoongoza kwa usodoma na ugomora kama Tabata kwa kifupi ile Sinza ya zamani imehamia Tabata.

Ufuska wote kwa sasa umehamia Tabata na kwa takwimu zilizopo Tabata ndo panaongoza kwa mashoga na wanaume wanaoishi na wanaume wenzao kama mume na mke yaani Tabata imejaa walaji na waliwaji.

Wazazi kuweni makini na watoto wenu nikimaanisha kuweni karibu nao na kuwapa malezi mazuri na kuwafundisha misingi mizuri kwa kuwapa elimu dunia na ya dini pia na wake kuweni makini na wanaume zenu usije shangaa hujawahi mfumania mumeo na mchepuko ukadhani kuwa ni mwaminifu sana u never know uchepukaji wake ni wa aina gani.

Hivyo kila abiria achunge mzigo wake(mume) na vifurushi vyake (watoto)

Msije sema hamkuambiwa
Tembelea Kimboka Buguruni uone ufuska. Tabata utaiona ya walokole
 
Back
Top Bottom