Tabasamu na kicheko cha jk vimekwenda wapi?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Nimemfuatilia kwa kipindi cha miaka mitano muheshimiwa Raisi Kikwete kwenye kila kwenye hotuba zake Luningani sintaacha kulipenda lile TABASAMU lake ambalo haliishi kila anapoongea na wananchi wake awe amefurahi! awe amekasirika!TABASAMU liko palepale. Lakini chakushangaza tokea alipotangazwa kapata ridhaa ya Uraisi kwa kipindi chake cha lala salama kuanzia hapo jamaa sasa naona kama anaweka mpaka NDITA usoni! Tabasamu silioni tena ukiliona TABASAMU NA KICHEKO ni kwa mbaaali halafu na sauti ya msisitizo KULIKONI???:bored:
 
Nafsi inamsuta. Pia na kuumwa.
 
Ninafuraha ya kuwa nchi hii walau imekuwa na raisi kwa muda mrefu bila kusafili!
 
Alipokuwa anatangaza baraza la mawaziri, pale mwishoni alimaliza kama real presidente...akiendelea hivyo itaonyesha kweli amekuwa siriusi, maana cheka cheka yake imemcost sana. Labda amebadilika maana magoigoi akina kapuya msola kawatema.
 
Baada ya chadema kuonyesha ukakamavu wa kutoka bungeni,sishangai kuona aki nuna...
 
Nimemfuatilia kwa kipindi cha miaka mitano muheshimiwa Raisi Kikwete kwenye kila kwenye hotuba zake Luningani sintaacha kulipenda lile TABASAMU lake ambalo haliishi kila anapoongea na wananchi wake awe amefurahi! awe amekasirika!TABASAMU liko palepale. Lakini chakushangaza tokea alipotangazwa kapata ridhaa ya Uraisi kwa kipindi chake cha lala salama kuanzia hapo jamaa sasa naona kama anaweka mpaka NDITA usoni! Tabasamu silioni tena ukiliona TABASAMU NA KICHEKO ni kwa mbaaali halafu na sauti ya msisitizo KULIKONI???:bored:

Atatabasamu vipi wakati ameingia kwa kuchakachua, nani asiyefahamu hayo? Na kuchakachua kwenyewe kwa asilimia kidogo! Alifikiri atapata ushindi wa kishindo wapi bwana!!!!! Kwa hiyo ndugu yangu dhamira inamsuta!!!
 
jamani achani kumwongea ongea Raisi wa watu kwani yuko busy sana na majukumu kwa sasa wala haitaji kucheka cheka:party:
 
Amchekee nani? Wabongo hamjampa Kura!
Bila ujanja wake binafsi angekuwa OUT!
 
Ndugu zangu, tabasamu lote na sura ya mng'ao kaichukua Dr. Slaa au hamjagundua hilo? JK alijifanya mjanja, Chadema wakamwangalia nafikiri leo hakikutana na Dr. Slaa hakika lazima akwepeshe macho maana jamaa lilikuwa serious kuingia ikulu. Baada ya Nyerere, Dr Slaa atabaki ktk kumbukumbu zangu kama kiongozi wa upinzani aliyeitengeneza ccm pamoja na kuwa ipo madarakani ikaonekana kuchanganyikiwa kiasi hata Baraza la mawaziri linapangwa kwa kufuata hisia za CHADEMA. Sasa CHADEMA inaongoza nchi kupitia mlango wa nyuma maana serikali itaitaji kuwaridhisha wapiga kura wa CHADEMA. Tumeshinda, tutashinda, tutaongoza.
 
Jee, hamkuona furaha aliokuwa nayo leo akizindua Udom.

One of the greatest achievements ever, not only in Tanzania or Africa, but worldwide, it has never been surpassed.

Congratulations JMK.

Nashangaa JF hakuna hata post moja inayohusu mafanikio hayo.

Ngoja nikaanzishe.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom