Tabasamu na kicheko cha jk vimekwenda wapi?

Nimemfuatilia kwa kipindi cha miaka mitano muheshimiwa Raisi Kikwete kwenye kila kwenye hotuba zake Luningani sintaacha kulipenda lile TABASAMU lake ambalo haliishi kila anapoongea na wananchi wake awe amefurahi! awe amekasirika!TABASAMU liko palepale. Lakini chakushangaza tokea alipotangazwa kapata ridhaa ya Uraisi kwa kipindi chake cha lala salama kuanzia hapo jamaa sasa naona kama anaweka mpaka NDITA usoni! Tabasamu silioni tena ukiliona TABASAMU NA KICHEKO ni kwa mbaaali halafu na sauti ya msisitizo KULIKONI???:bored:

Mjomba wahenga wanasema huwezi danganya nafsi yako.

Tena inasuta vibaya, kimya kimya na kukupotezea ujasiri na bashasha.

Me namjua mzee wa misifa na lichama lake. Kama ingekuwa kwa halali na wanajua hivyo tusingekaa kwa vijembe. Ila huwezi kuvipga wakati vinakurudi mwenyewe
 
Akicheka ooh ana cheka cheka, akinuna ooh sioni sura ya kucheka, , JK kaja na mpya , hataki matani tena hataki kuwa the worst president ever,yuko siriasi kwa sasa na hakuna tena ushkaji kivile. Ila yule Swahiba Ruge tuu!
 
Nimemfuatilia kwa kipindi cha miaka mitano muheshimiwa Raisi Kikwete kwenye kila kwenye hotuba zake Luningani sintaacha kulipenda lile TABASAMU lake ambalo haliishi kila anapoongea na wananchi wake awe amefurahi! awe amekasirika!TABASAMU liko palepale. Lakini chakushangaza tokea alipotangazwa kapata ridhaa ya Uraisi kwa kipindi chake cha lala salama kuanzia hapo jamaa sasa naona kama anaweka mpaka NDITA usoni! Tabasamu silioni tena ukiliona TABASAMU NA KICHEKO ni kwa mbaaali halafu na sauti ya msisitizo KULIKONI???:bored:

kuchakachua kubaya ndugu yangu
 
NASHUKURU KWA KUGUNDUA HILO......dalili ya mvua ni mawingu.... sasa ole wao wal rushwa,wabaadhirifu,wakwepa kodi, majambazi...wazandiki....KWANI KAZI SASA IMEANZA..NATABIRI KIPINDI HIKI KUWA CHA KAZI ZAIDI...UTENDAJI ZAIDI...KAMA ENZI ZA SOKOINE......! BIG UP KIKWETE BIG UP MWANA MAPINDUZI.......SASA WAONYESHEE WEWE NI NANI KATIKA MAENDELEO YA NCHI HII....!
 
----------anajua kuwa ni watz 5mil.tu wanaomuona anafaa kuwaongoza wakati the rest 38mil.hawamtaki......
---------anajua namna alivyoingia madarakani hata km ungekuwa wewe ungefadhaika kwa kuingia madarakani kwa wizi wa kura..............
--------anasikitika sana kuwadanganya watz kuwa kutakluwa na maisha bora kwani kuna umbwe na hana mwwelekeo wowote saaizi.....
--------anataka kuliingiza taifa kwenye mgogoro mkubwa wa kidini kwa kuipigania dini yake ya kiislamu kwa hiyo roho yake inamsuta,,,,,,,,,,,,,,,,amebaki kung'aa ng'aa sharubu tu
 
Jee, hamkuona furaha aliokuwa nayo leo akizindua Udom.

One of the greatest achievements ever, not only in Tanzania or Africa, but worldwide, it has never been surpassed.

Congratulations JMK.

Nashangaa JF hakuna hata post moja inayohusu mafanikio hayo.

Ngoja nikaanzishe.

utakuwa una matatizo ya akili wewe....
 
Hii kununa tishia nyau, hata mkapa alifanya hivyo kipindi cha pili matokeo yake akajiuzia kiwira, maandalizi ya kuchapa fedha epa yakaanza sasa JK naye anapanga wapi ajichukulie kabla ya muda hujayoyoma
 
NASHUKURU KWA KUGUNDUA HILO......dalili ya mvua ni mawingu.... sasa ole wao wal rushwa,wabaadhirifu,wakwepa kodi, majambazi...wazandiki....KWANI KAZI SASA IMEANZA..NATABIRI KIPINDI HIKI KUWA CHA KAZI ZAIDI...UTENDAJI ZAIDI...KAMA ENZI ZA SOKOINE......! BIG UP KIKWETE BIG UP MWANA MAPINDUZI.......SASA WAONYESHEE WEWE NI NANI KATIKA MAENDELEO YA NCHI HII....!

Sanaa nyingine hiyo..hakuna jipya kama mtu ni yuleyule tunayemfahamu..
 
Ninafuraha ya kuwa nchi hii walau imekuwa na raisi kwa muda mrefu bila kusafili!

Anataka saana kusafiri ila anaogopa wambea.... hebu mcheki

kpleo.jpg
 
Shk yahya alimtabiria ushindi na akamtabiria kifo pia,sasa anawaza hicho kifo hapati amani kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom