TAAZIA: Askofu Benson Bagonza afiwa na mkewe huko Minneapolis Minnesota

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
747
3,059
TAARIFA YA MSIBA

Familia ya Askofu Dr Benson Bagonza, wanasikitika kutaarifu kifo cha Mama Askofu, Frida Kemilembe Bagonza kilichotokea Ijumaa October 26th at 4:00am Minneapolis Minnesota.

Mipango ya kusafirisha mwili kuelekea Karagwe Tanzania inaendelea hapa Minnesota. Taarifa zaidi za mipango zitafuata.

Msiba utakuwa nyumbani Kwa Mr and Mrs Balira
4701 Decatur Avenue North,
New Hope MN

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe, Amen.
 
R.I.P mbele yake Nyuma yetu we never know tomorrow who is next.
 
TAARIFA YA MSIBA

Familia ya Askofu Dr Benson Bagonza, wanasikitika kutaarifu kifo cha Mama Askofu, Frida Kemilembe Bagonza kilichotokea Ijumaa October 26th at 4:00am Minneapolis Minnesota.

Mipango ya kusafirisha mwili kuelekea Karagwe Tanzania inaendelea hapa Minnesota. Taarifa zaidi za mipango zitafuata.

Msiba utakuwa nyumbani Kwa Mr and Mrs Balira
4701 Decatur Avenue North,
New Hope MN

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe, Amen.
oh....very sad news.
pole sana Baba Askofu. Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe.

huyu Baba Askofu namzimikia sana kwa kuwa anajitambua sana.
ni msomi wa ukweli akaelimika siyo kama wale wasomi waganja njaa kina "Bunsen Burner".

hazina iliyomo kwenye PhD ya huyu Baba Askofu ni kubwa mara elfu elfu kuzidi ya wale rubbish professors waliotudanganya na ile "professorial rubbish" yao.

hata kama mama Bagonza alikuwa mtu wa kwenda jehanum, nina uhakika atakuwa amebebwa na huduma iliyosimama imara ya mumewe - Baba Askofu Bagoza - Mungu atakuwa amemsamehe.

kwa heri mama yetu mpendwa. tuko nyuma yako twaja.
 
Pole sana kwa baba askofu na familia kwa ujumla. Mungu atawaongoza katika kipindi hiki kigumu

R.I.P mama Askofu
 
Pole sana Baba yangu wa kiroho Bishop Dr.Bagoza for the loss of Mama Askofu Frida,faraja ya MUNGU itawale nafsi yako,familia,ndugu jamaa na marafiki,nasi tuliobaki MUNGU atusaidie kuzihesabu siku zetu vyema!May our almighty good LORD rest the soul of mama Askofu Frida in Eternal peace...
 
Back
Top Bottom