Taasisi zingine fuateni mfano mzuri wa IKULU

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Nimependa sana mfano mzuri wa ikulu wa kurusha vitu humu kabla havijatoka rasmi, huu ni utamaduni unaopaswa kuigwa na taasisi zingine za kiserikali na zisizo za kiserikali, utaratibu huu unatufanya kuchangia bila kuweka utani mwingi na kufanya mijadala kuwa na afya.

Utakuta mnajadili kitu kinachohusu ikulu mara ghafla watu wa ikulu wanatupia document yenye nembo ya serikali ambayo inatoa ufafanuzi, hapohapo na mjadala unabadilika, lakini taasisi zingine sijui wakoje, unakuta mnajadili issue yao mwanzo mpaka mwisho bila kupata ufafanuzi wowote.

Tubadilike Ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom