Taasisi za umma mnaodai 'certified copy' ya vyeti tuoneeni huruma

mundu mkongw

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
203
87
Matangazo y kazi ktk taasis za umma kunakipengele cha 'certified photocopies'

Kinachomlazimu muombaji kazi kwenda mahakamani kucertify Cheti kabla ya kutuma maombi mfano RAHC, KIA wametumia huu utaratibu ktkt nafasi walizotangaza.

Huku ikumuongezea gharama zisizo za msingi muombaji kazi haiingii akilini utoe copy vyeti, maakamani ukaache kama 10,000 bado hela y stamp Mara passport size nafasi yenyewe 1
 
Back
Top Bottom