Taasisi za Serikali, dini na asasi za kiraia zatakiwa kufuata maadili na haki za binadamu

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939

Washiriki wa mdahalo mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi mapema hii leo jijini Dar es Salaam.



Mwenyekiti Kamisheni ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bahame Nyanduga akitoa utambulisho wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.






Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi akisisitiza jambo wakati akifungua mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.




Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akisisitiza jambo wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi kwenye mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.



Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi (hayupo pichani) wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.




Washiriki wa mdahalo mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi mapema hii leo jijini Dar es Salaam




Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akihojiwa na waandishi wa habariwakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 
Waanze na yule aliyesema ameweka katiba pembeni ili anyooshe nchi kwanza, maana katiba ndiyo sheria mama
 
Mwananchi.... Wananchi.... Raia...!! "Hizi porojo porojo na dharau zitaisha lini" Kila muda wanakutana...hakuna tija!! VIKAO HAVIISHI.. HAKUNA TIJA !! semina haziishi..hakuna tija !!

Mungu anawaona !!!
 
Back
Top Bottom