Taasisi za Serikali, dini na asasi za kiraia zatakiwa kufuata maadili na haki za binadamu


comrade igwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Messages
7,329
Likes
3,820
Points
280
comrade igwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2015
7,329 3,820 280

Washiriki wa mdahalo mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi mapema hii leo jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti Kamisheni ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bahame Nyanduga akitoa utambulisho wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.


Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi akisisitiza jambo wakati akifungua mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akisisitiza jambo wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi kwenye mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi (hayupo pichani) wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mdahalo mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi mapema hii leo jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akihojiwa na waandishi wa habariwakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 
Tetty

Tetty

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
26,396
Likes
17,642
Points
280
Tetty

Tetty

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2012
26,396 17,642 280
I wish tume ingekuwa na meno lakini kwa sasa ni kibogoyo kabisa
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,309
Likes
55,367
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,309 55,367 280
Waanze na yule aliyesema ameweka katiba pembeni ili anyooshe nchi kwanza, maana katiba ndiyo sheria mama
 
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
11,301
Likes
7,336
Points
280
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
11,301 7,336 280
Mwananchi.... Wananchi.... Raia...!! "Hizi porojo porojo na dharau zitaisha lini" Kila muda wanakutana...hakuna tija!! VIKAO HAVIISHI.. HAKUNA TIJA !! semina haziishi..hakuna tija !!

Mungu anawaona !!!
 

Forum statistics

Threads 1,275,220
Members 490,932
Posts 30,536,026