Bhupe nakuunga mkono kwa ka Bwana mdogo Simbachawene ndio hatapata kitu kabisaaa. Dogo kakomaa kama Muhongo!
Lugha chafu ulimlisha? Tutaanza kukupaka wewe hiyo cream. Baadae pitia kopo la Carolite dukani kwa Mangi nakuja kulipa!
Fisadi Mengi pia anamtambua, kamwulize. Alidhani atajichotea tu vitalu vya gesi kama alivyofanya kwenye madini kwa kumiliki 'Dar es Salaam tatu' bila kuziendeleza wala kulinufaisha Taifa kwa kisingizio cha UZAWA!! Kwa Prof. Muhongo alikwama na hatokaa apate, maana naamini hata uongozi mpya wa wizara ya nishati na madini hautampa fursa hiyo. Mfikishie salamu.
Mtabwabwaja sana mwaka huu. Mwanasayansi ndio kaisha tambulika hivyo. Kama vipi panda kazifute hizo Awards alizopewa kama wewe Kipanga zaidi yake!
Bhupe nakuunga mkono kwa ka Bwana mdogo Simbachawene ndio hatapata kitu kabisaaa. Dogo kakomaa kama Muhongo!
Yes, Rais kateua waziri wa nishati mwingine, baada ya JEMBE MUHONGO KUAMUA MWENYEWE KWA RIDHAA YAKE KUONDOKA. Ila sisi wapenda maendeleo tungali tunamhitaji sana. Baada ya kupita njia, mwishoni mwa safari yako ya upita njia (ambayo si muda mrefu) utapiga kura za ndiyo kwa JEMBE au sio?
Shame on you too! Read between your lines too before you type a single word!
Muhongo kwisha habari yake,aende akafie mbele.Hatuna mpango naye mwizi wahedi! ma.sa.buri yake yamekomaa!
Unafungua ID mbilimbli ili uandike na kuji support mwenyewe! Kweli una akili za Muhongo wewe!
kwahyo huo utaalamu wake hawezi kuufanya mpaka awe waziri wa nishati na madini?!
Unafungua ID mbilimbli ili uandike na kuji support mwenyewe! Kweli una akili za Muhongo wewe!
Mohongo ni kiongozi bora sema unafiki wa watanzania na ufisadi wa mengi na matumizi ya vyombo vyakebvya habari
sasa kwa nini mnanialika nikampigie kura?Kura yako haitazuia ushindi wake!
Acha kuweweseka Chakaza. Ona ulivyojazwa chuki kwa Prof. Muhongo kiasi kwamba unaumia ukiona jins Wanajamvi mbalimbali wanavyomkubali. Hama huko uliko, utaishia kupata stress bure ohoo!!
Wewe kweli umeshachakazwa ndio maana una hisi hovyo hovyo. Kwa maana ya kwamba Akili zako hazina mpangilio sahihi. Ukiona hivyo, wanaomkubali Muhongo ni wengi, umebaki wewe tu na wachache wanaojifaragua kuukubali ukweli.
Acha kuweweseka Chakaza. Ona ulivyojazwa chuki kwa Prof. Muhongo kiasi kwamba unaumia ukiona jins Wanajamvi mbalimbali wanavyomkubali. Hama huko uliko, utaishia kupata stress bure ohoo!!
Im around here since 2007 na michezo hiyo tumeshaiona sana, heri unyamaze nisije kuumbua ukaharibu heshima yako mtu mzima. Pole sana.
View attachment 226413