Taasisi za kupeleka wanafunzi kusoma nje ya nchi

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
4,664
4,758
Napenda kuuliza kwa wanaojua na wenye uzoefu: je hizi taasisi unapokwenda kuomba chuo na ukaletewa offer ya chuo mfano gharama ya masomo na malazi $3200 na ilipa hiyo taasisi kwenye acc yake je huwa kuna gharama zao zingine huwa wanakuchaji mbali na hiyo offer au wao hulipwa na chuo kuna makubaliano yao? Swali la pili kushika chuo mpaka kufikia kukatwa pesa na mwenye hiyo taasisi kwa kusema ulishika chuo A hukuenda umeomba B tumekupela kwa hiyo chuo A wamekukata pesa.

Je, hapo sikuwa na offer ya chuo A wala hwajanipa ila mwenye taasisi kanieleza hivyo dalili ni ipi mpaka nikatwe pesa. nimeuliza swali hili ili wajuzi watupe maelezo.

Kuna mwenzangu kakatwa pesa za gharama ya hiyo kampuni na nyingine kaabiwa slikuwa anabook chuo lakini hajawahi kupata offer ila kakatwa jumla dolla 1800 zimeenda hewani
 
napenda kuuliza kwa wanaojua na wenye uzoefu: je hizi taasisi unapokwenda kuomba chuo na ukaletewa offer ya chuo mfano gharama ya masomo na malazi $3200 na ilipa hiyo taasisi kwenye acc yake je huwa kuna gharama zao zingine huwa wanakuchaji mbali na hiyo offer au wao hulipwa na chuo kuna makubaliano yao? swali la pili kushika chuo mpaka kufikia kukatwa pesa na mwenye hiyo taasisi kwa kusema ulishika chuo A hukuenda umeomba B tumekupela kwa hiyo chuo A wamekukata pesa.

Je hapo sikuwa na offer ya chuo A wala hwajanipa ila mwenye taasisi kanieleza hivyo dalili ni ipi mpaka nikatwe pesa. nimeuliza swali hili ili wajuzi watupe maelezo.

Kuna mwenzangu kakatwa pesa za gharama ya hiyo kampuni na nyingine kaabiwa slikuwa anabook chuo lakini hajawahi kupata offer ila kakatwa jumla dolla 1800 zimeenda hewani
Ungeweka na jina la hiyo kampuni ili watu wachukue taadhari maana inawezekana baadh yao sio waaminifu. Maana kukatwa USD 1800 na wakati offer hukupata huo ni WIZI/UTAPELI.
 
Napenda kuuliza kwa wanaojua na wenye uzoefu: je hizi taasisi unapokwenda kuomba chuo na ukaletewa offer ya chuo mfano gharama ya masomo na malazi $3200 na ilipa hiyo taasisi kwenye acc yake je huwa kuna gharama zao zingine huwa wanakuchaji mbali na hiyo offer au wao hulipwa na chuo kuna makubaliano yao? Swali la pili kushika chuo mpaka kufikia kukatwa pesa na mwenye hiyo taasisi kwa kusema ulishika chuo A hukuenda umeomba B tumekupela kwa hiyo chuo A wamekukata pesa.

Je, hapo sikuwa na offer ya chuo A wala hwajanipa ila mwenye taasisi kanieleza hivyo dalili ni ipi mpaka nikatwe pesa. nimeuliza swali hili ili wajuzi watupe maelezo.

Kuna mwenzangu kakatwa pesa za gharama ya hiyo kampuni na nyingine kaabiwa slikuwa anabook chuo lakini hajawahi kupata offer ila kakatwa jumla dolla 1800 zimeenda hewani
Wamekutapeli tu hao mzee
 
Utakuwa umepitia kwa hawa ma-agent wanaotafuta wanafunzi wanaotaka kusoma nje ya nchi, wanaowaunganisha wanafunzi na vyuo vya nje.

Ni kwamba vyuo kuna pesa vinawalipa kwa kila kichwa kinachopelekwa kule, wao wana asilimia yao kadhaa watakayopewa kwenye ada yako. (Hii ni baada ya kuwa umekamilisha admission na umejiunga na chuo kabisa ndio watalipwa pesa yao, vinginevyo hawawezi kulipwa ilihali wewe hujaingia chuoni)

Pia, wewe mwenye kuna pesa agent alie kutafutia chuo atakudai kama malipo yake kwa kukupatia chuo, kiasi cha pesa inategemea na agents na taratibu zao, wengine wanapigwa kiasi kikubwa sana cha pesa ni kama wizi tu naona. (Ukiwa mjanja ukishafahamu chuo na kupata contacts zao, hao agents unaweza kuachana nao tu. Ukajifanyia taratibu na kujipigania mwenyewe tu kwani cha muhimu huwa ni offer letter, admission letter, sijui NO OBJECTION CERTIFICATE (inatoka tcu), passport, visa hayo yote unaweza yashughulikia mwenyewe na ukapewa mbona vizuri tu.
 
Napenda kuuliza kwa wanaojua na wenye uzoefu: je hizi taasisi unapokwenda kuomba chuo na ukaletewa offer ya chuo mfano gharama ya masomo na malazi $3200 na ilipa hiyo taasisi kwenye acc yake je huwa kuna gharama zao zingine huwa wanakuchaji mbali na hiyo offer au wao hulipwa na chuo kuna makubaliano yao? Swali la pili kushika chuo mpaka kufikia kukatwa pesa na mwenye hiyo taasisi kwa kusema ulishika chuo A hukuenda umeomba B tumekupela kwa hiyo chuo A wamekukata pesa.

Je, hapo sikuwa na offer ya chuo A wala hwajanipa ila mwenye taasisi kanieleza hivyo dalili ni ipi mpaka nikatwe pesa. nimeuliza swali hili ili wajuzi watupe maelezo.

Kuna mwenzangu kakatwa pesa za gharama ya hiyo kampuni na nyingine kaabiwa slikuwa anabook chuo lakini hajawahi kupata offer ila kakatwa jumla dolla 1800 zimeenda hewani
Kuhusu kuhama na taratibu za kurudishiwa pesa ulizolipa na makato. Kama ulipewa admission letter au offer letter nenda tafuta kipengele cha "Refund policy" nafikiri majibu unaweza kuyakuta humo
 
kama hakuna kipengele kinasema unatakiwa kulipa $1800 ambayo hairudushwi (non refundable)
Peleka hawa polisi..., hao watakuwa vibaka tu....
Na pia sijawahi kusikia fee ya dola 1800 na hakuna uhakika wa kupata
 
Back
Top Bottom