Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Taasisi mashuhuru na za kuaminika duniani zinazajishughulisha na masuala ya utafiti na uchambuzi wa masuala ya kiuchumi na kisiasa ya economist intelligence unit ya nchini Uingereza na Fitch solutions ya Marekani kupitia tafti zake kuelekea uchaguzi mkuu 2020 yamebaini kwamba Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli atashinda uchaguzi huo kwa urahisi huku vyama vya upinzani vikifanya vibaya mno. "CCM will continue to dominate the domestic political landscape while benefiting from a weakining opposition, as shown by the defection to CCM of several opposition members of parliament "
Miongoni mwa sababu zilizotajwa kusababisha Rais Magufuli kushinda kiurahisi uchaguzi huo ni pamoja na CCM kuwa ni chama kilicho na muundo mzuri ulioenea na kuungwa mkono hadi vijijin, mapambano dhidi ya rushwa pamoja na mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yaliyotekelezwa na Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza.
Kutokana na credibility ya taasisi hizo kimataifa pamoja na mambo ambayo Rais ameyafanya yanayoonekana kwa macho Kama ununzi wa ndege kubwa na za kati za kisasa, ujenzi wa SGR, elimu bure, kupambana na ufisadi, kuongeza bajeti ya dawa za binadamu, kusambaza umeme vijijini kupitia REA Kama mtanzania nisiendeshwa kwa mihemko ya kivyama nashawishika kuamini ubashiri wa EIU na Fitch solutions ni wa kweli na utatimia 2020.