Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,053
- 4,595
Wasije wakadanganywa na tafiti za nje kama UKAWA 2015Eti viva Magufuli!!!!!!!!!
Wacha tu ninyamaze.
Wasije wakadanganywa na tafiti za nje kama UKAWA 2015Eti viva Magufuli!!!!!!!!!
Wacha tu ninyamaze.
Mkuu, tusubiri tu. Hawa jamaa tafiti zao ni noma sana.Wasije wakadanganywa na tafiti za nje kama UKAWA 2015
Kwa kifupi umenielewa!
Mkuu, tusubiri tu. Hawa jamaa tafiti zao ni noma sana.
Hawakosei
Mkuu Gol man ndo hiyo. www.eiu.com
Kazi kwako, maana ni msitu mkubwa.
Shukrani.Thank you wacha tusome sasa tutakupa mrejesho.
Hiyo yao ilikuwa na interest fulani. Hasa ya vyombo vya habari. Na waliofanya haya to be precise walikuwa ni CNN maana hawakumtaka Trump.Walipofanya tafiti USA kwamba Hilary Clinton atashinda - ALISHINDA?
Sawa mkuu nimekupata. Thanks.Kutokana na maelezo yako huwezi eleweka - tafiti lazima ziwe supported na data ili msomaji aweze ku-compare, ulishavuka kiwango cha generalization of things na kuwa kwenye kundi la intellectuals - tumia data ktk analysis yako
Ulimbo. mbona uchaguzi uliopita kuna wabunge waupinzani katika bunge?
Nao walijiibia kura ama CCM walijisahau nao WAKAIBIWA na wapinzani?
UkInijibu hapo nitakuelewa!
Mkuu una ukakika/Are you surei?Swali lako limejikita kwenye kipengele cha nne ambacho ni moja kati ya sababu nilizotoa. Hivi vipengele vingine hujavizungumzia.
Ila kujibu swali lako ni raisi tu. Walijitahidi kuiba ila wapigakura wakajitahidi kulinda kura zao, na ndiyo maana baadae walijitahidi kuwanunua madiwani na wabunge mbalimbali kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi za mweshimiwa.
Wengi waliofanya hivyo kwa sasa wanajuta kwani walichohaidiwa hawakukipata.
Mkuu una ukakika/Are you surei?
Basi ulimbo tuishie hapo.Ndiyo.
WordMagufuli na CCM watashinda kwa uchaguzi wa kutangazwa na siyo wa kuchaguliwa na wananchi.
aisee! Huamini tafiti?
Ubongo wako umejaa matopeHabari za utafiti wa hivi karibuni toka shirika amaTaasisi ya kimataifa ya Intelijensia ya Kiuchumi/ Economist Intelligence Unit/EIU lenye makao yake makuu jijini London Uingereza, limetoa matokeo yake ya kitafiti kuhusu UCHAGUZI ujao wa 2020 wa Tanzania.
Taasisi hiyo ya kimataifa ambayo ndo think tank kuu ya mambo ya kimataifa katika Nyanja za KISIASA, KIUCHUMI n.k.imetoa utafiti wake.
Miongoni mwa kazi zake kuu ni kufanya Utafiti/Research na ANALYSIS/ UCHAMBUZI ili kupata MATOKEO/ PROJECTION za nchi mbali mbali kuhusu Siasa na Uchumi na hivyo kubashiri wakiwa wamelenga shabaha kabisa/ Accuracy katika ubashiri wao.
Kulingana na Tafiti na Chambuzi zake za hivi karibuni zinazohusu uchaguzi wa Tanzania wa mwaka ujao wa 2020,
Rais Magufuli anategemewa kuchaguliwa tena kwa kura nyingi sana kuliko uchaguzi uliopita wa mwaka 2015.
Tafiti zao zinaonyesha pia kuwa, chama cha CCM kitachukua viti vingi sana vya UBUNGE na hivyo kuvinyima vyama vya upinzani nafasi nyingi za UBUNGE.
Tafiti zinasema pamoja na kuwa vyama vya upinzani vimejaribu sana bado CCM itapata ushindi mkubwa sana na hivyo kuifanya Tanzania kubaki nchi iliyo na Stability/AMANI kwa miaka mingi ijayo.
Chanzo: EIU.
Shukrani!
Mkuu sidhani kama kutakiwa na wizi, maana kila chama kina wawakilishi/Agents wao. Ama?
Eti Ulaya?Nadhan uchaguzi 2015 we ulikua ulaya ngoja siku uone sarakasi za uchaguzi 2020 kama utakua upo bongo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bring on your sense then!