Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,455
- 8,247
CCM huwa hawashindi kihalali.Nipe sababu zako!
Sababu zangu ni kwamba CCM hajawahi kushinda kihalali, sababu kubwa zaidi kuliko zote ni hii,mkurugenzi nimekuteua mimi,ninakulipa mshahara, unaishi kwenye nyumba ya serekali, unatembelea gari ya serekali halafu nikusikie umetangaza mpinzani kashinda, maneno hayo na marufuku hiyo siyo ya kwangu ni ya mwenye serekali yake.Nipe sababu zako!