wenzio wanakuficha siri zao, kada nyingi wengi wamepata barua hizo, swala kubwa hapo ni iwapo muamala utasomeka!!!Ofisi yetu ina jumla ya watumishi wapatao elfu moja Tanzania mzima kwa makadirio.
Mpaka sasa kila nikiwapigia watumishi wenzangu walioko mikoa tofauti naambiwa hakuna aliyepata barua ya kupandishwa daraja au cheo.
Wiki mbili zilizopita tulijazishwa ma Opras. Wengine huyaita hopeless. Mimi miaka karibu yote nakataa kuyajaza, nimejaza majuzi baada ya kuambiwa kuwa yatawekwa mezani kusort watumishi watakaopanda madaraja.
Niko tayari kutoa ushirikiano kwa kuitaja ofisi husika endapo atatokea kiongozi kwa maelezo zaidi.