Taasisi ya moyo ya JK kujengwa Mloganzila

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,122
7,707
Taasisi ya Monyo ya Jakaya Kikweta/ Jakaya Kikwete Cardiac Instutute Kuhamishiwa/kujengwa katika eneo la Hospotali ya Kimataifa Mlonganzila. Ameyasema hayo Waziri wa Afya Ummi Mwalimu alipo tembelea taasisi za MUHAS upanga.

Wananchi tumefurahishwa na maelekezo hayo, kwani ni ukweli usio pingika kuwa Muhimbili ya Upanga kumesongamana sana kiasi kwamba sio salama kwa wagonjwa, wauguzi na hata madaktari.

hakuna nafasi ya kufanyia mazoezi kwa wagonjwa walio fanyiwa upasuaji wala hakuna hewa safi, Hakika Mloganzila ndio sehemu Muafaka kwa wagonjwa, ni sehemu tulivu, hewa safi lkn pia eneo la kutosha, hivyo tunaiomba Serikali kuhamishia taasisi zote zilizopo upanga kujengwa katika eneo la Mloganzila, upanga ibaki kuwa ni tawi tu la chuo sio hospitali.

Uwekezaji mkubwa ufanyike Mloganzila ili nchi yetu iwe na Hispitali kubwa ya mfano Afrika Mashatiki na kati.
Mgonjwa akipelekwa Mlogqnzila basi apate huduma za magonjwa yote katika eneo moja.

Tunaipongeza Serikali kuja na wazo hilo hivyo tunaiomba iharakishe utekelezaji.
 
Taasisi ya Monyo ya Jakaya Kikweta/ Jakaya Kikwete Cardiac Instutute Kuhamishiwa/kujengwa katika eneo la Hospotali ya Kimataifa Mlonganzila...
Good move...

Waweke JKCI, MOI, CCBRT, Kituo cha upandikizaji Mimba n.k sehemu moja kulingana na bajeti maana kule kuna eneo kubwa sana
 
Good move...

Waweke JKCI, MOI, CCBRT, Kituo cha upandikizaji Mimba n.k sehemu moja kulingana na bajeti maana kule kuna eneo kubwa sana
Kama Serikali yetu itaamua kufanya uwekezaji mkubwa wa majengo, ma specialists wa magonjwa yote, vifaa tiba vya kisasa basi Hospitali ya Kimataifa ya Mloganzila itakuwa ni miongoni mwa Hospitali kubwa zitakazo toa huduma East Afrika na kati.
kinacho takiwa ni kudhamiria kuipanua zaidi mloganzila, maana eneo ni kubwa sana na pia sehemu tulivu sana.
 
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom