The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,309
- 20,329
wivu kwa namna gani?wanachokifanya ni ku float na application fee, mna apply watu 30k, wanapata watu 500, waonyeshe vyanzo vya mtaji waoJela unaushahidi wamemuibia nani? Watu wanapo anzisha kitu tunapaswa kuwasupport au km mawazo kuboresha tuwasaidie, ikiwemo serikali. Lkn ukiona unaponda ujue, una wivu a roho ya kwann. Kwa afrika nikawaida lkn sikishangai