Taasisi ya Misaada ya Kijamii (TSSF) imeamriwa kusitisha shughuli zake zote kuanzia Novemba 14, 2017

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,409
20,759
Taasisi ya Misaada ya Kijamii (TSSF) imeamriwa kusitisha shughuli zake zote kuanzia Novemba 14, 2017 na Msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs).

Ni ile taasisi iliyodai inatoa mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu.

Pix-02-1.jpg
 
hao ndio ma director?wanaonekana wahuni wa mjini tuu...ipigwe stop
Ulitaka madirector waweje? Acha fikra fupi. Inawezekana ikawa organization mpya kuna mtu kaweka hela yake afu wameajieiwa vjana waiendeshe. Tunatofaitiana sana, wapo vjana wanaojiamini kufanya mambo makubwa. Ndo maana mnaishia kumchukia makonda bila sababu mnazozijua. Andrew Lajoulina alimpindua Lavaro Manana akiwa na umri wa miaka 26 wkt huku kwetu umri huo bado mtu yupo kwa baba na akimaliza chuo, anamsubiri mjomba amuunganishie kazi
 
Acha upuuzi, mimi mwenyewe ni kijana tena very smart, haihitaji akili ya ziada kutambua frauds kama hawa
 
Fraudi kisa vijana? au ulitaka wavae suti? acha kushikiwa akili
braza sijawahi kushikiwa akili, ni siyo blind kabisa kuona wanachofanya jamaa, ni upuuzi hata baada ya miaka 5, hawataweza kutoa huduma wanayoitoa...kama unahusika nyumba yenu itakuwa jela moja kwa moja kwa utapeli wenu
 
Taasisi ya Misaada ya Kijamii (TSSF) imeamriwa kusitisha shughuli zake zote kuanzia Novemba 14, 2017 na Msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs).

Ni ile taasisi iliyodai inatoa mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu.

View attachment 631280
Vijitasisi vingine vina raise eyebrows sana.Kwa mtu mwenye hekima na busara anajua wazi kwamba kuna ajenda ya siri,which is of course true for all NGOs without exception.Ila kwa haka(TSSF),I think it's too obvious.
 
Na wale ambao walichangishwa fedha serikali inawafidiaje pesa zao? maana taasisi hiyo kama iko kihalali na imesajiliwa ni wajibu itimize ilichokusudia au ishtakiwe na sio kufungia shughuli tuu wakati wengine wameshaumia
 
Hao waliochangia imekula kwao kama wale wa DECI.
 
Ishu sio umri,
mbona kina mark zuckberk wa facebook wamefanya makubwa wakiwa wavulana wadogo.?
Hata kina google walikuwa watoto tu.

Watakuwa wana connection na politics hawa
 
Ishu ni tujue kosa lao ni nini na sio kuangali sura na umri. Mbona mchato anawaza kama mtoto wa form IV mkondo E japo umri mkubwa
 
braz?jawahi kushikiwa akili, ni siyo blind kabisa kuona wanachofanya jamaa, ni upuuzi hata baada ya miaka 5, hawataweza kutoa huduma wanayoitoa...kama unahusika nyumba yenu itakuwa jela moja kwa moja kwa utapeli wenu
Jela unaushahidi wamemuibia nani? Watu wanapo anzisha kitu tunapaswa kuwasupport au km mawazo kuboresha tuwasaidie, ikiwemo serikali. Lkn ukiona unaponda ujue, una wivu a roho ya kwann. Kwa afrika nikawaida lkn sikishangai
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom