Taasisi ya mikopo (PRIDE) mbioni kufilisika? Mamlaka zinazohusika ziingilie kati

Hao wateja wao wengi ni kada ya chini km mama ntilie,wachuuzi wadogo wadogo nk ndio waliokuwa wanakopa huko...sasa ujio wa Vicoba na Saccos ndio ndio unaimaliza Pride kwa kuwa wateja wao wamekimbilia huko wanakopeshana kwa riba nafuu.
[HASHTAG]#MawazoYangu[/HASHTAG]
 
Kwanza ziwezi kukopa Pride tena,,mambo ya kupeleka marejesho kila wiki,harafu eti unasimama mbele ya darasa unapoomba mkopo,ajabu kubwa ni pale ambapo mtu mmoja kama hajaleta rejesho basi meki nzima hamtoki mnachanga hadi pesa itimie,,mtu unataka million moja unaambiwa uwe na mali isiyohamishika,mali isiyohamishika ni kiwanja,nyumba na shamba basi.sasa kuna nyumba ya milion moja? Kifupi wale wamefirisika kwa sababu wateja wanakimbia,kwanza kuanza eti ni lazima upewe laki tatu na nusu na si zaidi ya hapo.mkuu achana na mikopo ya vikundi,njoo benki wala hakuna mashariti makubwa kama ya huko.nenda ACCESS BANK/
 
Taasisi zote ambazo there targeted customer ni micro enterprenuers Predict tu zitakubwa na hii hali Ya mufilisi sbb Ya multiplier effects wafanyakaz wa serikali na taasisi ambao walikuwa ndo spenders wakubwa wame cut there spendin kwa kiwango kikubwa mno so sustainin Ya Micro Enterprenuers in some markets ilishakuwa ngumu
Lazima tuishi kama masheitwaaani
 
Tangu kipindi cha uchaguzi mkuu taasisi hii ilianza kusuasua katika utoaji wa mikopo. Kuna wanachama walioomba mikopo toka mwezi wa nane hadi leo hawajapatiwa mikopo hali iliyopelekea wateja wengi kukosa imani na taasisi hii na karibu 60% wamejifuta uanachama.

Cha ajabu na cha kushangaza hata wale wanaojifuta bado wanasumbuliwa kupewa akiba zao, wengi wao wana miezi 2-3 baada ya kujifuta uanachama ila hawajapewa akiba zao kila siku imekuwa kesho kesho.

Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati ili akiba fedha zetu zisidhurumiwe
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ImZx4zBruSdcaV5ZA&sig2=WhHXrEcl1mqYr9kVJXzqOQ

Paskali
 
Kwanza ziwezi kukopa Pride tena,,mambo ya kupeleka marejesho kila wiki,harafu eti unasimama mbele ya darasa unapoomba mkopo,ajabu kubwa ni pale ambapo mtu mmoja kama hajaleta rejesho basi meki nzima hamtoki mnachanga hadi pesa itimie,,mtu unataka million moja unaambiwa uwe na mali isiyohamishika,mali isiyohamishika ni kiwanja,nyumba na shamba basi.sasa kuna nyumba ya milion moja? Kifupi wale wamefirisika kwa sababu wateja wanakimbia,kwanza kuanza eti ni lazima upewe laki tatu na nusu na si zaidi ya hapo.mkuu achana na mikopo ya vikundi,njoo benki wala hakuna mashariti makubwa kama ya huko.nenda ACCESS BANK/
Pride Sasa inatoa mikopo ya mtu mmoja mmoja Kuanzia 5M-50M.

Sikiliza hapa

Paskali
 
Kwanza ziwezi kukopa Pride tena,,mambo ya kupeleka marejesho kila wiki,harafu eti unasimama mbele ya darasa unapoomba mkopo,ajabu kubwa ni pale ambapo mtu mmoja kama hajaleta rejesho basi meki nzima hamtoki mnachanga hadi pesa itimie,,mtu unataka million moja unaambiwa uwe na mali isiyohamishika,mali isiyohamishika ni kiwanja,nyumba na shamba basi.sasa kuna nyumba ya milion moja? Kifupi wale wamefirisika kwa sababu wateja wanakimbia,kwanza kuanza eti ni lazima upewe laki tatu na nusu na si zaidi ya hapo.mkuu achana na mikopo ya vikundi,njoo benki wala hakuna mashariti makubwa kama ya huko.nenda ACCESS BANK/
Mkuu huku niliko hakuna ACCESS BANK
 
Tangu kipindi cha uchaguzi mkuu taasisi hii ilianza kusuasua katika utoaji wa mikopo. Kuna wanachama walioomba mikopo toka mwezi wa nane hadi leo hawajapatiwa mikopo hali iliyopelekea wateja wengi kukosa imani na taasisi hii na karibu 60% wamejifuta uanachama.

Cha ajabu na cha kushangaza hata wale wanaojifuta bado wanasumbuliwa kupewa akiba zao, wengi wao wana miezi 2-3 baada ya kujifuta uanachama ila hawajapewa akiba zao kila siku imekuwa kesho kesho.

Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati ili akiba fedha zetu zisidhurumiwe
Huenda Simba aliogopa Taasisi kurejeshwa serikalini maana no Mali ya serikalini, jinsi ilivyotoka serikalini hakuna anayejua
 
Taasisi zote ambazo there targeted customer ni micro enterprenuers Predict tu zitakubwa na hii hali Ya mufilisi sbb Ya multiplier effects wafanyakaz wa serikali na taasisi ambao walikuwa ndo spenders wakubwa wame cut there spendin kwa kiwango kikubwa mno so sustainin Ya Micro Enterprenuers in some markets ilishakuwa ngumu
Mmhh!!!
 
Huenda Simba aliogopa Taasisi kurejeshwa serikalini maana no Mali ya serikalini, jinsi ilivyotoka serikalini hakuna anayejua
Hilo nalo neno kama ni kweli Magufuli apige tochi huko
 
Back
Top Bottom