Taasisi ya Friends of Tulia inafanya shughuli za kichama au Kiserikali?

msakaa jr

JF-Expert Member
May 18, 2017
6,490
6,708
TANGAZO MAALUM

Nawapa pole kwa usumbufu wowote uliojitokeza na kusabanisha taharuki miongoni mwa marafiki wa Dr Tulia.

Hivyo tunawambia kuwa baada ya kutafakari kitendo alichokifanya ndg Shaban Nyamhanga,uongozi wa Taifa unamuondoa katka nafas ya uewenyekiti wa mkoa wa Shinyanga kuanzia leo tarehe 22/5/2020

Hivyo mtu atakaye shika nafas ya uenyekiti mkoa wa Shinyanga itasemwa hapo baadaye

Hivyo kuanzia leo ndg Shaban siyo mwenyekiti wala siyo mwanacha wa marafiki wa Dr Tulia popote pale.

Hivyo chochote atakachokifanya taasisi ya marafikii wa Dr Tulia hatutahusika.

Matiko Nyaih
Msemaji wa marafiki wa Dr Tulia Tanzania
 
Back
Top Bottom