Taasisi ya Elimu yakanusha taarifa zilizoenea kuhusu sababu za kuahirishwa kwa somo la Historia ya Kiswahili

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,786
4,421
Salaam Wakuu,

Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala.

Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

Zaidi kuhusu kanusho hili soma kiambatisho hiki chini:

1626187151779.png
 
Mnachotaka kukifanya sasa hv kwanini hamkufanya tangu mwanzo?na je mkimaliza hiki Cha sasa,tunauhakika gani kama hamtakuwa mmesahau vingine?

Ur so incompetent, mlitumika vibaya,sasa mnaona aibu tupu, hayo mavitabu yenu, insiders wenye nia njema wameishayaweka mtandaoni.

You don't deserve to be in public offfice supervising education department.
 
Hovyo Sana......vitabu vyote vingejaa propaganda. Hadi zile 'tunamshukuru Rais John katuletea pesa za mradi wa kuanzisha kuku!'

Wakati fedha zimechangwa na wana-Saccos
 
Tatizo letu huanzia pale mshauriwa anapogeuka mshauri na hakuna wa kumwambia baba hapo mambo si sawa. JPM angekuwa hai hilo somo lingefundishwa hata kama wengi tuliamini kuwa agizo lake na mchakato uliotumiwa vilikuwa batili.
 
Vitu au kauli ambavyo vimefutwa baada ya miezi mitatu ya kifo Cha JPM:-
1. Neno Tanzania ya viwanda
2. Neno Tanzania imeingia uchomi wa Kati
3. Tanzania hakuna corona
4. Somo la historia kufundisha Kwa kiswahili
5. Kesi za uhujumu uchumi hakuna tena
6. Mahakama ya ufisadi haipo tena
7. Utumbuaji haupo tena
8. Ndege za atcl hazijulikani ziliko
9. Wamachinga wanesahaulika na wananyanyashwa.
10. Kufungua miradi imekuwa ndoto
11. Wanyonge wametelekezwa Kodi za simu,kuku nk.
12. Rais kutembelea mikoani ni ndoto
13. Ikulu ya dodoma imesahaulika na watumishi wengi Sasa wanaishi dar badala ya dodoma
14. Ccm uongozi wa juu umeundwa upya na walioteuliwa kazi imewashinda
15. Misafara ya viongozi Kanda ya ziwa imekwisha.
16. Kasi ya miradi mikubwa iliyokuwa ikijengwa imepungua
17. Petrol na diesel zimapanda bei mara dufu.
18. Waziri wa Fedha amewatanhazia watanzania wahamie Burundi
19. Wabunge na madiwani wamepata hofu ya kutokufanimiwa kupitishia tena 2025.
20. Neno wanyonge limefutwa hata kwenye vyombo vya habari
21........
 
Back
Top Bottom