Habari zenu Great thinkers .
Takriban wiki mbili zilizopita , Mh Paulo Makonda mkuu wa mkoa wa Dar , alitoa agizo ya kuwa omba omba walioko jiji la dar es salaam wanatakiwa waondolewe / waondoke . Baada ya baadh ya omba omba kukaidi agizo hilo , Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Makonda walifanya opereshen kubwa ya kuwasomba omba omba na kuwaondoa jijin
Sasa mimi swali langu ni kwamba , Makonda ametangaza kuwaondoa hawa wenzetu jijin , lakin sijasikia sehem yoyote ofisi yake au serikali yetu ikitangaza ni nin mkakati walionao kuhusu omba omba wa dar . Kwa sababu hawa watu wanachofanya ni kwa manufaa ya maisha yao , na hawana sehem nyingine ya kwenda .
Kinachonishangaza zaid , taasisi haki za binadam hawajaongelea kabisa kuhusu operation hii ya omba omba kutolewa Dar . lakin mafisadi waliotubia watanzania na kutusababishia ugumu wa maisha wanaona ndo watu sahihi wa kuwatetea , Hawa watu mnaowatetea ndio chanzo cha mtanzania kusimama barabara kuomba apate mlo wake angalau mmoja wa siku.
Hatujawasikia mkihoji chochote kuhusu operation ya kuondoa omba omba . Maswali yangu

- Mnatetea haki zipi hizo za binadam .?
- Definition ya binadam mwenye haki kwenu nyie ni nin ..?
- Ni nin sauti yenu kuhusu operation ya kusafisha omba omba Dar es Salaam .?