Taarifa zaidi kuhusu kampuni inayoitwa KNK-CRYPTO-FOREX inafanya Forex Trading hapaTanzania

Corporatehustler

New Member
May 11, 2018
3
0
Nani anafahamu ukweli au uhalisia kuhusu kampuni inayofanya forex trading inayojiita KNK Crypto forex ya kijana anaitwa anayejiita kamanda@knk na jina lake halisi ni Nobert Kayanda. Inasemekana kijana huyu yupo Mbeya.

Mwenye taarifa zaidi atufahamishe maana mhusika wa kampuni hatoi maelezo ya kina, ila anachoweza kusisitiza ni watu kumpa log in details za platform ya forex trading inayoitwa Metatrade4 (MT4) na yeye kufanya trading ya account baada ya mtu kudeposit kiasi cha pesa kwa promise ya kushare 50%/50% faida. Ila kila akiulizwa endapo itatokea loss inakuwaje, huwa hajibu swali hili.

Ana group la Telegram ambalo mtu pekee anayeweza kupost kitu ni yeye mwenyewe na amekuwa akipost screenshot kuonyesha faida anazopata na kuweka msisitizo wa watu kumpa account zao za forex MT4 afanye trading kwa masharti kiwango cha chini mtu kudeposit kwenye account ni $500.

Mwenye kumfahamu zaidi atupe maelezo au aliyewahi kufanya nae forex trading atupe maelezo.

Kitu kinacholeta mashaka hana ushirikiano mzuri anapoulizwa maswali ya msingi kuyatolea maelezo na wakati mwingine hapokei simu wala kujibu message zenye maswali ya msing.

Mwenye taarifa zaidi za huyu kijana wa Mbeya na kampuni yake atupe maelezo maana forex trading iko na scams nyingi sana.
 
Mkuu usikubal mtu a trade kwa niaba yako tafuta mwl akufundishe trade mwenyewe huyo mtakuja kulia mkuu forex haijawahi kuacha mtu salama.
 
Nani anafahamu ukweli au uhalisia kuhusu kampuni inayofanya forex trading inayojiita KNK Crypto forex ya kijana anaitwa anayejiita kamanda@knk na jina lake halisi ni Nobert Kayanda. Inasemekana kijana huyu yupo Mbeya.

Mwenye taarifa zaidi atufahamishe maana mhusika wa kampuni hatoi maelezo ya kina, ila anachoweza kusisitiza ni watu kumpa log in details za platform ya forex trading inayoitwa Metatrade4 (MT4) na yeye kufanya trading ya account baada ya mtu kudeposit kiasi cha pesa kwa promise ya kushare 50%/50% faida. Ila kila akiulizwa endapo itatokea loss inakuwaje, huwa hajibu swali hili.

Ana group la Telegram ambalo mtu pekee anayeweza kupost kitu ni yeye mwenyewe na amekuwa akipost screenshot kuonyesha faida anazopata na kuweka msisitizo wa watu kumpa account zao za forex MT4 afanye trading kwa masharti kiwango cha chini mtu kudeposit kwenye account ni $500.

Mwenye kumfahamu zaidi atupe maelezo au aliyewahi kufanya nae forex trading atupe maelezo.

Kitu kinacholeta mashaka hana ushirikiano mzuri anapoulizwa maswali ya msingi kuyatolea maelezo na wakati mwingine hapokei simu wala kujibu message zenye maswali ya msing.

Mwenye taarifa zaidi za huyu kijana wa Mbeya na kampuni yake atupe maelezo maana forex trading iko na scams nyingi sana.
Mkuu, Forex is not for everyone. ikifika hatua ukaona kuna haja ya mtu kuingia kwenye MT4 yako kukusaidia kutrade means wewe Forex haikufai ama bado hauna ufahamu wa kutosha.

Kama una ufahamu wa kutosha juu ya Forex na bado unataka mtu mwingine akusaidie kutrade means 'FOREX IS NOT FOR YOU'
 
Usifanye ujinga kumpa pesa. Piga shule u trade mwenyewe
Nani anafahamu ukweli au uhalisia kuhusu kampuni inayofanya forex trading inayojiita KNK Crypto forex ya kijana anaitwa anayejiita kamanda@knk na jina lake halisi ni Nobert Kayanda. Inasemekana kijana huyu yupo Mbeya.

Mwenye taarifa zaidi atufahamishe maana mhusika wa kampuni hatoi maelezo ya kina, ila anachoweza kusisitiza ni watu kumpa log in details za platform ya forex trading inayoitwa Metatrade4 (MT4) na yeye kufanya trading ya account baada ya mtu kudeposit kiasi cha pesa kwa promise ya kushare 50%/50% faida. Ila kila akiulizwa endapo itatokea loss inakuwaje, huwa hajibu swali hili.

Ana group la Telegram ambalo mtu pekee anayeweza kupost kitu ni yeye mwenyewe na amekuwa akipost screenshot kuonyesha faida anazopata na kuweka msisitizo wa watu kumpa account zao za forex MT4 afanye trading kwa masharti kiwango cha chini mtu kudeposit kwenye account ni $500.

Mwenye kumfahamu zaidi atupe maelezo au aliyewahi kufanya nae forex trading atupe maelezo.

Kitu kinacholeta mashaka hana ushirikiano mzuri anapoulizwa maswali ya msingi kuyatolea maelezo na wakati mwingine hapokei simu wala kujibu message zenye maswali ya msing.

Mwenye taarifa zaidi za huyu kijana wa Mbeya na kampuni yake atupe maelezo maana forex trading iko na scams nyingi sana.
Usiseme forex isn't for u au for everyone watu hawataki pitia miaka kadhaa ya hasara wanataka mwezi mmoja au miwili pesa ije ila ukikubali kuvumilia u won't regret it for account management wacheki darforexgroup insta wako ni wa muda mrefu na wanajua wat they are doing
 
partner certificate.jpeg
 
Back
Top Bottom